Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 9,513
- 14,990
Dunia inaelekea kushika adabu yake baada ya mataifa kadhaa kuendelea kusambaratika na kufanya vituko vya kila aina.
Umoja wa NATO uliokuwa kitu kimoja kupambana na Urusi ana China kimaneno pamoja na kuzishinikiza nchi za ulimwengu wa tatu,sasa unaelekea kusambaratika kabisa.Marekani aliyekuwa mshirika mkubwa wa umoja huo anauwacha mkono kwa kasi kisa kikiwa na kushindwa kwake kugharamia umoja huo.
Umoja wa Ulaya nao haujasalimika na kusambaratika huko japo wanajikaza kutaka kuisaidia Ukraine iendeleze vita ilivyoanzisha na Urusi.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy akijibu suali na mbunge mmojawapo amekiri kuwa Israel kwa kuendelea kuipiga Gaza kinyume na makubaliano pamoja na kuzuia misaada inavunja sheria za kimataifa.Tamko hilo ni kubadilika ghafla kwa msimamo wa nchi hiyo iliyokula njama kuanzisha taifa hilo mwaka 1948
Baada ya mwaka mmoja kutoka sasa dunia inaweza ikawa imeachana na demokrasia,umoja wa Ulaya na NATO vikawa vimesambaratika sambamba na kushindwa kwa Israel kupambana na wagomvi wake walioizunguka baada ya mfadhili wake,Marekani kuishiwa nguvu na kuingia katika machafuko ya ndani nchini kwake.