Athari mbaya 5 za tamko la TEC kuhusu siasa siku ya Pasaka

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,647
6,703
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
 
kama ikitokea yote hayo yakatokea basi tanzania hatuna serikali ila tuna chama cha siasa ndio kinaongoza nchi kwanini serikali iingilie mambo yanayo husu vyama vya siasa wakati serikali ni mtu kati asiyekuwa na upande, huu moto anaopelekewa mama abuba kwa kipindi hiki naona mavi yanagonga chupi na kurudi tako zinatetemeka usiku kucha
 
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka

  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
kwahiyo wangeupiga mwing. Rubbish!
FAIDA
1. UKWELI UTAWAWEKA HURU
2. KUKEMEA MAOVU AMBAYO NA WEWE UNAYAONA
3. KUKEMEA UCHAWA
4. KUHUBIRI HAKI
5. KUKEMEA UONEVU
 
Attachments

  • KANISA NA KUTETEA HAKI.mp4
    2.6 MB
Hakuna tatizo kuchukua upande wa kisiasa.
Hawa ni baadhi ya viongozi wa kidini waliowahi kuchukua upande wa kisiasa.

1. Martin Luther King Jr.
2. Askofu Desmond Tutu
3. Janani Luwum dhidi ya Iddi Amin
4. Askofu Mfaniseni Sigisbert Ndwandwe
5. Cardinal Paulo Evaristo Arns
6. George Bell, Bishop of Chichester
7. Askofu Hélder Câmara
8. Askofu Julio Xavier Labayen
 
Hakuna kitu hapo. Maaskofu wamesisitiza Haki. Tusiendelee kubeza matamko ya viongozi wetu wa Dini. Watu wakishazoea kupora haki huwa hawaachi. Na kwa sababu hali hii huwa inakua, siku itafika wataanza kuporana Haki wao kwa wao. Lakini pia kuna hata wewe mwenyewe unayeandika haya unaweza kuporwa haki yako. Je, ukiporwa haki yako Maaskofu wasikusemee?

Mambo haya tunaona ni rahisi sana kwa sababu hayajatupata sisi wenyewe. Ebu fikiri, mtoto, mke au mme wako amebambikiziwa kesi na yupo mahabusu, wewe utajisikiaje?
 
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka

  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Hapa Hoja za Kanisa ni za kweli au za uongo? Je hoja za Bakwata zilikuwa za kweli au za uongo ? je Haki kwenye uchaguzi huru ni suala la ukweli au la uongo? je uchaguzi wa 2020 na 2024 na changamoto zake zinahitaji utatuzi au hapana. Tusipotoshe kwa ajili ya manufaa binafsi Rais aachiwe arekebishe hali ya uchaguzi bila hadaa za matumbo yetu. Rais na Serikali ni yetu wote.
 
Hakuna kitu hapo. Maaskofu wamesisitiza Haki. Tusiendelee kubeza matamko ya viongozi wetu wa Dini. Watu wakishazoea kupora haki huwa hawaachi. Na kwa sababu hali hii huwa inakua, siku itafika wataanza kuporana Haki wao kwa wao. Lakini pia kuna hata wewe mwenyewe unayeandika haya unaweza kuporwa haki yako. Je, ukiporwa haki yako Maaskofu wasikusemee?

Mambo haya tunaona ni rahisi sana kwa sababu hayajatupata sisi wenyewe. Ebu fikiri, mtoto, mke au mme wako amebambikiziwa kesi na yupo mahabusu, wewe utajisikiaje?
 
Attachments

  • ASKOFU NA AMANI KATOLIKI.mp4
    18.2 MB
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.

Okay sawa. Lakini Mambo yote kabisa yaliyojadiliwa na TEC yana Ukweli mchungu Sana kuhusiana na masuala ya HAKI katika nchi yetu.

Aidha, Serikali na Utawala uliopo nchini Tanzania wanapaswa wayafanyie kazi hayo masuala yaliyoibuliwa na TEC.

ANGALIZO:-
Katika nchi yoyote ile, Ukiona Viongozi wa Dini ambao ni Waadilifu na wenye Fikra Huru wameanza kuinyoshea Kidole Serikali kuhusiana na masuala ya HAKI za kiraia, tambua ya kwamba kwenye nchi hiyo tayari kuna tatizo kubwa sana kwa upande wa Watawala wa nchi husika. Daima hiyo huwa inakuwa ni dalili mbaya sana kwa Utawala uliopo madarakani kuhusiana na hatma ya Utawala huo. Hii huwa inakuwa ni ishara ya mwanzoni kabisa kwa Utawala huo kwenda mrama na Kisha kukumbwa na hatma mbaya.

It acts like an indicator for the beginning of the end!

Uzoefu kutoka katika nchi nyingi sana hapa duniani unaonyesha kwamba Tawala nyingi sana za nchi mbalimbali zinapokaribia kuanguka huwa zina kawaida ya kugombana kwanza na Viongozi wa dini na kisha baadaye Tawala hizo zinaanguka na kuhitimisha enzi zake.
 
Hao huwa wanatoaga matamko au waraka akiwa Rais wa nchi ni muislamu tu. Utaona wanatoa tamko hili hata halijapoa wanatoa lingine
lakini akiwa Rais ni Mkristo hawatoi matamko au wakitoa wanapongeza. Tushawasitukia siku nyingi wala hatusikilizi matamko yao Wakafie mbele huko na chuki zao wanazozionyesha waziwazi
 
wewe unazani kazi ya dini ni nini ?kuhubiri tu theory ?

kanisa katoliki kama taasisi kubwa zaidi ya dini hapa nchini inasauti na inasikilizwa na serikali.

kama viongozi wa dini wana uwezo wa kushauri na kua na msimamo juu ya mambo yanayoendelea katika nchi
 
Wakisema mapdre mnasema wana haki ya kuishauri serikali lakini Wakisema masheikh wanakamatwa na kuwekwa sero wanaambiwa uchochezi. Ingekuwa ni sheikh Ponda katoa tamko sasa hivi angeshakuwa segerea
Hii nchi haina haki wala haina usawa, nyinyi wakristo mnapenda kudekezwa hii ni nchi yetu sote
 
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Kwa taarifa yako kanisa lina nguvu kuliko serikali
 
Wakisema mapdre mnasema wana haki ya kuishauri serikali lakini Wakisema masheikh wanakamatwa na kuwekwa sero wanaambiwa uchochezi. Ingekuwa ni sheikh Ponda katoa tamko sasa hivi angeshakuwa segerea
Hii nchi haina haki wala haina usawa, nyinyi wakristo mnapenda kudekezwa hii ni nchi yetu sote
usiongelee wakristo wote wapumzishe wengine hili ni swala la wakatoliki

wahenga walisema mwenye nguvu mpishe, kanisa katoliki lime dominate ukristo kwa takriban miaka elfu mbili ndo taasisi kubwa kuliko zote duniani likiwa na wafuasi wapatao bilioni mbili ( dunia ina watu wapatao bilioni saba )

ukishaanza kujiona unapingana na kanisa katoliki ujue hiyo ni dalili ya kua mwisho wako umefika huo ndo ukweli mchungu "juu ya mwamba huu nalijenga kanisa na halitotikisika"
 
Hao huwa wanatoaga matamko au waraka akiwa Rais wa nchi ni muislamu tu. Utaona wanatoa tamko hili hata halijapoa wanatoa lingine
lakini akiwa Rais ni Mkristo hawatoi matamko au wakitoa wanapongeza. Tushawasitukia siku nyingi wala hatusikilizi matamko yao Wakafie mbele huko na chuki zao wanazozionyesha waziwazi

Huu ni UWONGO MKUBWA SANA.
Fanya kwanza utafiti wako wa kina kabisa kabla ya kutoa maoni yako humu mtandaoni.

Kwa taarifa yako: Mwalimu J.K. Nyerere alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, lakini Waraka wa Kwanza kabisa wa kutoka kwa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) aliandikiwa Mwl. Nyerere enzi hizo akiwa Rais wa nchi hii. Waraka huo ulilenga Kupinga Uamuzi wa Nyerere wa Kutaifisha Mali za Kanisa hilo (e.g. Shule, Hospitali, Majumba ya Biashara, n.k) kwenye Operesheni za Siasa mbaya sana ya Ujamaa na Kujitegemea chini ya Azimio la Arusha ambayo ilisababisha Watu wengi sana kuporwa na kupokonywa mali zao na kisha mali hizo kutaifishwa. Rejea Nyumba nyingi sana ambazo leo hii zinamilikiwa na NHC hapa nchini.
 
Kanisa katoliki ni zaidi ya kanisa, ni zaidi ya dini na ni zaidi ya Imani.

Wengi wanadhani ni kanisa tu kwaajili ya neno au mambo ya kiroho kumbe sivyo.

Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Athari mbaya 5 za Tamko la TEC kuhusu Siasa Siku ya Pasaka
  1. Kuchochea Migawanyiko ya Kijamii na Kisiasa
    • Tamko linaweza kuonekana kama kuchukua upande fulani wa kisiasa, hivyo kuibua hisia mseto miongoni mwa raia. Wapo wanaoweza kuona kanisa kama linaegemea upande wa wapinzani, na wengine kuona ni tishio kwa mamlaka ya dola.
  2. Kupunguza Imani ya Watu kwa Kanisa
    • Wale ambao hawaungi mkono hoja za kisiasa zilizotolewa wanaweza kupoteza imani kwa kanisa, wakihisi kuwa linatumika kama chombo cha kisiasa badala ya kuwa sauti ya kiroho tu.
  3. Mchango katika Kusababisha Msuguano kati ya Serikali na Kanisa
    • Serikali inaweza kuchukulia tamko hilo kama kuingilia mamlaka au kuhamasisha uasi, hali inayoweza kusababisha mvutano kati ya taasisi hizo mbili muhimu kwa utawala wa amani.
  4. Kuweka Maaskofu na Viongozi wa Dini Katika Hatari
    • Kwa kutoa matamko ya moja kwa moja dhidi ya serikali au taasisi zake, viongozi wa dini wanaweza kujikuta wakilengwa au kuzuiwa kushiriki katika baadhi ya shughuli za kijamii au kitaifa.
  5. Kugeuza Sikukuu ya Pasaka kuwa ya Kisiasa
    • Watu wengine huona Pasaka kama siku takatifu ya kiroho, hivyo tamko lenye maudhui ya kisiasa linaweza kuharibu maana halisi ya sikukuu hiyo kwa waumini.
Ni wewe ndio unaita tamko. Hiyo ni barua ya kichungaji. Na barua hiyo ya kichungaji itamfikia kila mkatoliki tz, maana utasomwa mpaka ktk ngazi ya chini kabisa ya familia.
Barua za kichungaji ni sawa na zile za mtume Paulo zilizopo kwenye Biblia. Kwa maana nyepesi huo ndio msimamo wa kanisa katoliki tz
 
au sio,

agenda kama hizo hazijawai kufanya kazi ndani ya kanisa katoliki

kutawala ukristo kwa takriban miaka elfu mbili kuna propaganda nyingi zilikwepo nyingine kubwa kuliko hizo zikichukua kitu kinacho trend kwa muda huo na wakitumia watu wenye ushawishi kama sasa walivyotumia bbc kuwajengea negativity waumini na wasikikizaji wote,

kanisa katoliki halijawahi kutikisika wala kujibu ( kama liliwahi katafute useme )

na wala hawajibu wala hawasikii kwasababu sauti zenu zipo chini mno

linachojua ni kuzidi ku dominate

unaposoma kalenda yako na kujua leo ni tarehe ngapi mwezi na mwaka gani jua unatumia kalenda ya katoliki iliyopangwa kabisa na papa ndo maana leo ni monday 21 pril 20205

hii ni greogorian calender imepangwa n apapa Gregory ikaitwa Gregorian callender inatumika na dunia nzima hadi wewe

"juu ya mwamba huu nalijenga kanisa na halitotikisika"
ni ngumu kusikia 2akatoliki wakijiongea ila linakua tu, utawasikia wasabato na wengine ila kanisa katoliki lina umri wa takriban miaka elfu mbili zaidi ya dini yoyote ile,

imefanye yote unayotumia sasa ukiachana na calender biblia imepangwa vitabu na kanisa katoliki

bibilia haimtambui mtume ila quran inamtambua Yesu ukatokiko umeanza takriban miaka mia saba kabla ya uislamu na mengine mengi

"juu ya mwamba huu nalijenga kanisa na halito tikisika"
 
Hao huwa wanatoaga matamko au waraka akiwa Rais wa nchi ni muislamu tu. Utaona wanatoa tamko hili hata halijapoa wanatoa lingine
lakini akiwa Rais ni Mkristo hawatoi matamko au wakitoa wanapongeza. Tushawasitukia siku nyingi wala hatusikilizi matamko yao Wakafie mbele huko na chuki zao wanazozionyesha waziwazi
Screenshot_20250421-153754.png
 
Back
Top Bottom