Mnavyojidai na kujiona sasa! Mnawadharau hata wakristo wenzenu kisa nyie wakatoliki. Mnajioooona mtadhani mshafika mbinguni vile. Katika wakristo wote nyinyi wakatoliki ndio waasi sana bora hata walokole na wasabatoau sio,
agenda kama hizo hazijawai kufanya kazi ndani ya kanisa katoliki
kutawala ukristo kwa takriban miaka elfu mbili kuna propaganda nyingi zilikwepo nyingine kubwa kuliko hizo zikichukua kitu kinacho trend kwa muda huo na wakitumia watu wenye ushawishi kama sasa walivyotumia bbc kuwajengea negativity waumini na wasikikizaji wote,
kanisa katoliki halijawahi kutikisika wala kujibu ( kama liliwahi katafute useme )
na wala hawajibu wala hawasikii kwasababu sauti zenu zipo chini mno
linachojua ni kuzidi ku dominate
unaposoma kalenda yako na kujua leo ni tarehe ngapi mwezi na mwaka gani jua unatumia kalenda ya katoliki iliyopangwa kabisa na papa ndo maana leo ni monday 21 pril 20205
hii ni greogorian calender imepangwa n apapa Gregory ikaitwa Gregorian callender inatumika na dunia nzima hadi wewe
"juu ya mwamba huu nalijenga kanisa na halitotikisika"
ni ngumu kusikia 2akatoliki wakijiongea ila linakua tu, utawasikia wasabato na wengine ila kanisa katoliki lina umri wa takriban miaka elfu mbili zaidi ya dini yoyote ile,
imefanye yote unayotumia sasa ukiachana na calender biblia imepangwa vitabu na kanisa katoliki
bibilia haimtambui mtume ila quran inamtambua Yesu ukatokiko umeanza takriban miaka mia saba kabla ya uislamu na mengine mengi
"juu ya mwamba huu nalijenga kanisa na halito tikisika"