Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,489
- 7,023
Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam
Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa masuala ya 'Amani na Haki' wamekutana kufanya tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 chini ya mada isemayo, 'Je, maamuzi ya wapiga kura yemeheshimiwa?'
Aliyefungua kongamano hilo ni Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa, OFMCap ambaye pamoja na mambo mengine amegusia kuchomoza kwa matukio ya mauaji, rushwa nk katika uchaguzi huo