Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,894
44,133
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu ( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor (mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
 
Mtume na nabii Mwingira ametoa unabii wake kuhusu Uchaguzi huu wa 2020 Oktoba.

Moja ya pointi kubwa aliyoizungumzia ni kuwa mshindi hawezi kuzuiwa, kama Mungu alimpa ushindi basi atashinda.

Japokuwa ametumia kiingereza huku ikitafsiriwa lakini ujumbe huu unaweza kuwa wa kwanza kwa Kanisa la Kipentekoste hasa makanisa yenye huduma za mtu binafsi.


 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
 
Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.

Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za jk Sasa hv maumivu tupu
Magu endelea kuwanyoosha
Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes
Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu
Alinishangaza Sana kwa hyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwwnye TV anahubiri

Kupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
 
Igwee!
Mtume na nabii mwingira ametoa unabii wake kuhusu uchaguzi huu wa 2020 oktoba, katika moja ya point kubwa aliiyoizungumzia ni kuwa mshindi hawezi kuzuiwa, kama Mungu alimpa ushindi basi atashinda, Japokuwa ametumia kiingereza huku ikitafsiriwa lakini ujumbe huu unaweza kuwa wa kwanza kwa kanisa la kipentekoste hasa makanisa yenye huduma za mtu binafsi.


Karibu usikilizeView attachment 1578719View attachment 1578721
Huyu nabii si ndo anakulaga kondoo? Utabiri fake huo chezea sadaka na biashara ya unga kuyumba, lazima achanganyikiwe!
 
Back
Top Bottom