Askofu Gwajima apekuliwa na Polisi nyumbani kwake, bado anashikiliwa kituoni

Baada Ya Kumbebesha Ujauzito Mtoto Wa RPC si alikuja Kufanya Kosa Moja dogo tu la Kuniambia eti "SIKU ZAKE HAZIONI" kilichomkuta Mpaka Leo Ninalala Kwa Amani Manake Ndani Ya Wiki 1 moja Nilikoipeleka Mimba Nakujua Mwenyewe.....
Halafu Leo Unamtangazia Mtu Unamwita Polisi ikisha Aache Ushahidi Juu Ya Meza Nyumbani Kwake??? Ama Kweli Kumbe Afisa Usalama Wa Tanzania ni Sawa na Teja la Marekani....
 
Nawashangaa mnaosema approach anayotumia makonda sio nzuri...approach gani nzuri iliyoleta mafanikio kwenye hui vita?acheni blah blah
Uwe unaangalia hata movie za kijasusi! Zinaweza kukusaidia angalau kidogo! Hivi unaniita Polisi kwa Tuhuma nzito kiasi hiki na unanipa siku nzima au mbili, si naondoa Ushahidi wote? Unakuja kufanya Upekuzi hakuna kitu, hiyo ni akili au matope? Na umeshachafua jina langu,hata kama Ni chafu, nakufilisi!
 
Kosa alilofanya makonda ni kuruka media,hata kama gwajima ni druglord,alikuwa na mda mwingi tu wa kuhamisha ushahidi,
hii inaitwa kutwanga maji kwenye kinu
labda ndiyo lilikuwa lengo la kukimbilia kwenye media.... kwamba "jamani eeh, kimbizeni hiyo mizigo wanoko wanakuja!"

hii biashara ndugu yangu ni kumbakumba. usiowadhania wamo, uliowadhania kumbe hawamo!
 
drug Lord aache madawa nyumbani kwake halafu aende kituo cha Polisi..thubutuu
Tatizo kubwa linaloiangamiza Afrika na hasa Tanzania ni wanasiasa kuchukua nafasi za kitaalamu na kutaka kuaminisha watu wao wana akili na utaalam wa kila kitu. Hivi kweli hata kama mtu ni mjinga kiasi gani akisikia ameitwa polisi kwa kuhisiwa anajihusisha na dawa za kulevya ataamua kwenda polisi huku ameacha ushahidi nyumbani? Na hapo bado sijaelezea kuwa ma drug dealler karibu wote huwa hawaweki mzigo nyumbani wanakoishi. Hatua ya kwanza na muhimu kabisa kwenye vita vya dawa za kulevya uchunguzi wa kuwajua wahusika, njia wanazotumia na sehemu wanazoweka mzigo. Na hii hufanyika kwa kuingiza undercovers kwenye operation zao. Undercovers wanakuwa na detailed info za kila kitu na wanakusanya ushahidi wa uhakika. Baadae ndio inafuata action.
 
Approach iliyotakiwa baada ya kupata majina ni kuwafuatilia kwa siri,mfano wangeza kuplant Deepcover agent,tutolea mfana kwa gwajima wangetafuta mtu wa karibu yake,wakasoma weakness zake na kuzitumia kumflip na kumfanya informer,na huyo ndo angekuwa anawapa data zote ikiwemo audiovisual na mahali madawa yanamopita na kuhifadhiwa etc.


Hii aliyotumia makonda hata mtotyo wa kidato cha pili hawezi fanya,
unless labda ishu hapa sio madawa,bali madawa ni smokescreen ya kilicho nyuma ya pazia.
 
Ni kumfuatilia kimya kimya na mwisho wa siku unamkamata na mzigo
Aisee huo mkakati mkali! Nani mwenye ubavu wa kumkamata 'drug dealer' kimya kimya kama hajapotezwa uhai wake! Labda mtumiaji unga!

Ujasiri wa Makonda wa kuwataja hadharani, unatia hofu sana kwa wahusika au wanaotaka kuanza hiyo biashara. Pia na jamii nayo inakuwa na taarifa mhusika ni nani na kuongeza nguvu ya pamoja ya kupambana nao.
 
Back
Top Bottom