"Arusha sio Tanzania"

Salaam bandugu.
Naam kama mada inavyosema, hivi karibuni nilipata nafasi adhimu ya kwenda kutembelea makao makuu ya Jumuiya yetu tukufu na pendwa, Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ilikuwa ni ziara ya kikazi.
Mara tukawa tunaelezewa kuhusu kazi za sekretarieti ya Jumuiya, na hapo ndipo kauli tata ya "Arusha sio Tanzania" ilipotamkwa.
"Katika kazi zetu kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, hatuhesabu Arusha kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali ni eneo la Jumuiya ya Afrika Mashariki au Federal Capital Territory.....kama Washington DC kule Marekani"
Hilo lilinifanya nitafakari ugumu wa kuanzishwa Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki. Hivi ni watanzania wangapi watakubali Arusha imegwe na kuwa common territory ya EAC?
Below ni picha za jengo la EAC Arusha. Kuzuri hatari!
eac-building.jpg

Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki

DSC_0088.jpg

Mahakama ya Afrika Mashariki

Judges-of-the-Appellate-Division-during-session-with-court-clerks-in-front.jpg
Arusha ni ya wasomi,,kujua kusoma na kuandika haitoshi,,,
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Kuchagua upinzani ndo kujitambua kisiasa !!, What a stupid mindset, no wonder Kenya's politicians are making it to the billionnaire ladder leaving the majority the poorest & theft has been the only option
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Wewe unatafuta kuderail uzi.
Eti kuchakarika. Ina maana watu wa Dar ni wazembe?
Anyways...huu uzi ni kuhusu diplomatic status ya Arusha kama mji mkuu wa EAC na sio mambo yako hayo ya kuchakarika sijui na kufanyeje......
 
nakubali hoja yako. nngekuwa na uwezo ningefanya mapinduz...arusha and moshi iko tofaut sana na wabongo wa huku pwani. nashaur mombasa ije tz na arusha na moshi tuipeleke kenya. cjui kwa nn kenyatta hakufight kipindi kileeee. afu pia wahaya hawajafanana na wazaramo kabisa..hivi obote na idd amini walizidiwaje ujanja na mwalimu? dah niutani tu modes usinipige ban. au ndugu unamawazo gan ww?
Mawazo yako yashindwe na yalegee na haitokuja tokea. Unafikiri Kenya atakubali kuwa landlocked?
Wewe una chuki yako na watu wa pwani basi tu. Tanzania si pwani ila pwani ni Tanzania!
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
He he heeeeeeee! Hii nayo ulitaka iwe kule nini

Ni kweli arusha pamoja na maeneo mengine wanajitambua

Sio huko kwenu mnakoona kuchagua kabila moja kwenye urais kila mwaka ndo kujitambua kisiasa! Mfyuuuuuu
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Hopeless comments!!
 
Kweli kabisa, japo ukweli unauma.
 
Back
Top Bottom