Unakurupukaga sana na wewe, unatuletea mambo yako ya ukenya hapa, hata hukumwelewa mleta mada...Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Historically, Watu wa Klm waliijenga Arusha kuanzia mwaka 1990 tu-Very true, Arusha imejengwa na watu wa Kilimanjaro ila kimsingi maeneo yote ya kaskazini watu wako tofauti, wanajitambua
Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.Historically, Watu wa Klm waliijenga Arusha kuanzia mwaka 1990 tu-
ILA, Kabla ya hapo majengo yote makubwa ya kwanza Arusha yalijengwa na wenyeji chini ya Vyama vya uuzaji wa NGOZI na KAHAWA.
Mfano Arusha Coffee Union (ARCU)
shule kubwa ya Ilboru, Mringa, Moringe pamoja na kanisa la Ilboru na Salei yalijengwa na wanawake wa kimasai (kuna kitabu cha refference)
Kule Monduli, tayari Edward Sokoine alishaidesign halmashauri ya Monduli pamoja na Bus stand kabla hata ya serikali kufanya hayo.
Unajua hilo?
Uongozi wa Meya wa kwanza mweusi wa Arusha, Letawo Laizer (Don King) pia ndio ulioudesign jiji la Arusha kwa upande wa Clock tower kule na posta ya Meru.
Kilimanjaro chini ya uongozi wa Mareale na (KNCU) ndio kabisaa walishaendelea...kabla ya uhuru tayari walikuwa na shule za secondary zaidi ya 38, barabara nzuri, system nzuri za maji n.k
Soma Historia...!
LONGLIVE & BIG UP WANAKASKAZINI
DsmHahaha... mji wa wapaka poda ni upi tena??? Wanapaka wapi poda??
ID inajisema hiyo. Nambie pande zipiumeandika kwa hasira sana bro
relax
Ukifanikiwa kufika Nairobi maeneo haya:-Living style, Starehe, Hali ya hewa, Uchangamfu, Style ya ujenzi Arusha sounds like Nairobi......
Hata Matatu zao ni mziki mnene, Mapambo etc
Ni sawa, na tukapata maendeleo...nyie mlilamba nini vya waarabu?Hiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.
Mpanda hatuna watu wa hivyo atakuwa wa kaliua huyoWewe umezaliwa kolomije, kasulu, Mpanda au liwale?
inabaki tarimeFederal Capital Territory ? Kwa hiyo muungano ukivunjika Arusha inabaki wapi ?
huku nilipoID inajisema hiyo. Nambie pande zipi
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.
Watu wa Arusha hawana ulelemama na uswahili chovu.
nakubali hoja yako. nngekuwa na uwezo ningefanya mapinduz...arusha and moshi iko tofaut sana na wabongo wa huku pwani. nashaur mombasa ije tz na arusha na moshi tuipeleke kenya. cjui kwa nn kenyatta hakufight kipindi kileeee. afu pia wahaya hawajafanana na wazaramo kabisa..hivi obote na idd amini walizidiwaje ujanja na mwalimu? dah niutani tu modes usinipige ban. au ndugu unamawazo gan ww?
Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.
Watu wa Arusha hawana ulelemama na uswahili chovu.