takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
Mpumbav na mji.nga ni wewe takashi, kosa linabaki kuwa ni kosa tu, mahakamani ni utaratibu tuliojiwekea kwenda kuthibitisha kisheria kwamba kweli mtu katenda kosa.
Now turudi nyuma kwenye hii kesi ya mvaa magwanda ya jeshi mtaani..... wewe hauoni kosa hapo unataka kumpeleka mahakamani ukathibitishe nini. Wapumbavu kama ninyi mmekuwa wengi ndio mnaofanya hata mijitu mijinga kama hii kuendelea kufanya ujinga kwa kisingizo cha mpaka mahakama ithibitishe kwamba kukutwa na sare za jeshi ni kosa.
Pumbav sana wanaovaa sare za Majeshi yetu wakiwa wao si askari, kama wanaona zinawapendeza wajeda basi wa apply wajiunge na majeshi y. Wajinga kabisa, mnataka kila kitu kiende mahakamani kuthibitishwa, mnaakili kweli ninyi ama wehu tu.
Kweli Jamiiforums imefanya makosa kuto dadisi uwezo wa wachangiaji...Hapa mahali pamegeuzwa kuwa jukwaa la wajinga, aibu sana. Siku ukimkamata mwizi hakumu yake iwe nini au na wewe ukamwiibie? Pumbavu mkubwa wewe!!!