Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 518
Unajua sheria au unaongea tu... bila sisi wewe saiv usingsema ayo.. tunairinda hii nchi kwa damu zetu panya wewe na shule nmesoma kuliko wewe.... raia lazima umuadabishe na kama unajua sheria katushtaki
Kwa kauli zako hizi ni wazi kabisa either wewe sio mwanajeshi bali uliwai kupitia tu mafunzo ya mgambo ulipofundishwa nyuma geuka mbele tembea ukaanza kujiona na wewe mwanajeshi tayari kama sio hivyo basi wewe ni ushahidi tosha kwamba nikosa kubwa kwa majeshi yetu kuajili form four failure kama wewe..