Haaa haaa haaa haaaSijui akija raisi wa somalia ataomba msaada gani, labda wataalamu wa milipuko
Nikiikumbuka ile hotuba yake ati tutakua donor country in a short time nacheka sanaMara ya kwanza alipoingia hazina akaona noti zimejaa vyumba akadhani zinatosha kuendesha nchi bila kukopa sasa amekuwa ombaomba tena kwenye viinchi masikini, afadhali mwenzake alikuwa akienda mashariki ya mbali.
Kwa sababu ni Jukwaa la SIASA, Tanzania Mazingira ya Biashara ni Magumu kuliko S/Sudan.Unafanya biashara yeyote ndugu yangu? Hata ya kuuza maandazi?
Wanabodi.
Nakutajia nchi ambazo Rais Magufuli alizoomba misaada Rwanda aliwaomba wataalam wa IT, Ethiopia sijui akawaomba nini, Afrika Kusini amewaomba msaada,Morroco kawaomba. Nchi zote anazowaomba nao bado wanasaidiwa kwa kiasi fulani na wafadhili, ina maana kila mgeni anayekuja Tanzania ajiandae kuombwa kitu tena wengine ni maskini wenzetu tu.
Tujadili.
Yaani sisi tunaomba atakacho pewa na yeye baada ya kuomba kwa wengine yeye anaomba halafu tunagawana au sio?Kwa mimi nahisi lazima uchague wa kumuomba unaomba nchi ambazo nazo zinaomba na zinasaidiwa kama tanzania maana yake, you are diminishing to them, tunajifedhehesha zaidi kumuomba msaidiwa na kuifanya Tanzania kupungua hadhi yake ki-mataifa
Duuuh hata hili nalo mnatetea? Nimejifunza kitu kutoka kwenu Lumumba utiii ni kitu muhimu sanaHuko kwingineko tulikoomba miaka yote hiyo misaada imetusaidia na tumefanikiwa
Aiseee nimecheka sana mpaka watu wanishangaaaSijui akija raisi wa somalia ataomba msaada gani, labda wataalamu wa milipuko
ataomba apunguziwe idad ya alshabab waje wateke watuSijui akija raisi wa somalia ataomba msaada gani, labda wataalamu wa milipuko
Umenishtua!Sijui akija raisi wa somalia ataomba msaada gani, labda wataalamu wa milipuko
Anamuomba msaada omba ombaWakati ni dawa . Sasa hivi Mh ameona uhalisia na ugumu wa kazi. Mwanzoni alikuwa anashangaa watangulizi wake kuomba misaada ilihali nchi ni tajiri sana. All the best Mh