Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

Status
Not open for further replies.

Ghayo TheMongo Barbarian

Senior Member
Oct 27, 2024
176
365
Mzuka Wana jamvi.

Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili
IMG_20240204_074332.jpg

NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema.

Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
images (34).jpeg
 
Wanao tenda dhambi na maovu ni maadui wa Mungu.

Ndiyo maana ata ukisoma biblia unaona kwamba Mungu alitafuta kisa kati ya Samson na wafilisiti Ili Samson apate kuwa uwa

Daudi naye pia hivyo hivyo shughuli yake ilikuwa kuwa angamiza maadui wa Mungu.
 
Ukatili wa Waamaleki kwa Waisraeli ulianza kwa shambulio la Refidimu (Kutoka 17: 8-13). Hii inaelezewa katika Kumbukumbu la Torati 25: 17-19 na shauri hili: "Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu. Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau!"
 
Mungu aliamuru wayahudi kila kijiji walichopita kuua wanaume wote na watoto wa kiume na kisha kuchukua wanawake kama mateka na kuwafanya wake zao kwa lazima. Unajiuliza hao watu walikua na kosa gani hadi kuuwawa na wake zao kubakwa kwa lazima na kufanywa kua watumwa wa kingono wa wayahudi.

Human trafficking, sex slavery business ilianzishwa na Mungu mwenyewe ndio maana haiwezi kuisha.

Kwenye maandiko ya torah na biblia kuna historia ndefu sana ya Mungu kuamuru mambo ya hovyo na ajabu sana kutendeka kwa amri yake. Ukija kwenye Quran ndio sasa usiseme, mambo ya hovyo zaidi yalifanyika kwenye Quran kuliko historia zozote zile za kidini.

Stori za Mungu ni hadithi kama hadithi nyingine za sungura na fisi. Mungu hayupo.
 
Hapo ndio ujue hata waliotunga hicho kitabu kuna muda walizidiwa na tungi wakaandika mambo ambayo ni kinyume na sifa wanazompatia "mungu".

Haiwezekani mtu aseme mungu ni muweza yote, mwenye upendo wote halafu huyo huyo mungu atume watu wakaue mpaka watoto wasio na hatia.

Hapa tumepigwa sana na hizi soga za biblia zisizokuwa na mantiki.
 
Ukatili wa Waamaleki kwa Waisraeli ulianza kwa shambulio la Refidimu (Kutoka 17: 8-13). Hii inaelezewa katika Kumbukumbu la Torati 25: 17-19 na shauri hili: "Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu. Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau!"
Yahweh hakushindwa kuwaombea ruhusa waisraeli kwa amaleki wapite

Sema ukimchunguza sana Yahweh utashindwa kumuabudu

Mimi naishia hapa.
 
Ukatili wa Waamaleki kwa Waisraeli ulianza kwa shambulio la Refidimu (Kutoka 17: 8-13). Hii inaelezewa katika Kumbukumbu la Torati 25: 17-19 na shauri hili: "Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu. Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau!"
Mambo ya dini bhana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom