Anayetuhumiwa kumteka DR. Ulimboka azungumza

Hapana,hapana,hapana"binafsi nakataa kabisa huyu bwana msangi mimi ni jirani yangu namtambua nyendo na tabia yake hivyo nauhakika hawezi kutenda jambo hilo,ngijeni niwaambie wana jf,msangi tangu nimfahamu amekuwa mtu ambae eti ''''ni mfuatiliaji mzuri na mpelelezi wakimataifa hivyo katika tume hiyo anastahili kuwepo,tuache kumpa hatia mtu asiyehusika'
ASIYE NA DHAMBI NA AOKOTE JIWE.........
Proffesional killer hawezi kukuonyesha wewe acha umbumbumbu huyu ni muaji na ni wanted something will definetely happen against him belive me or not
 
Hapana,hapana,hapana"binafsi nakataa kabisa huyu bwana msangi mimi ni jirani yangu namtambua nyendo na tabia yake hivyo nauhakika hawezi kutenda jambo hilo,ngijeni niwaambie wana jf,msangi tangu nimfahamu amekuwa mtu ambae eti ''''ni mfuatiliaji mzuri na mpelelezi wakimataifa hivyo katika tume hiyo anastahili kuwepo,tuache kumpa hatia mtu asiyehusika'
ASIYE NA DHAMBI NA AOKOTE JIWE.........

una jirani usiyemfahamu....hna humfahamu msangi wewe...jana tu humu ndani wameweka barua ya msangi jinsi anavyoshirikiana na majambazi na iliandikwa na mwenzake ikatumwa kwa wakubwa....msangi humjui wewe kaa kimya...eti jirani yangu..unatubania pua hapa na kusema jamaa sio mafia!!!! ptyuuuuuuuu
 
Mwandishi wa gazeti naona kakosea kwani hajaweka maelezo ya Dr Deo kuhusu hilo suala kama alilisikia kutoka kwa Dr Uli au la, pia mwandishi alitakiwa amalizie kumhoji tena Dr Uli kuhusu kauli hiyo kama ni kweli aliitoa au la.

Ili jamii ijue. maana tusije kujikita mbali zaidi kumbe maadui wake wako nae close. Pia mie naona hiyo isue ipo simple kwani Dr Deo sianajua namba ya simu ya Dr Uli?

Kwanini wasiende police kuchukua ruhusa ya kufata records za namba yake kwenye mtandao anautumia Dr Uli. Hizo namba zilizokuwa zinawasiliana nae zitaonekana pia zilikuwa zinawasiliana na nani kwa majina yataonekana. wakifata sheria nadhani itawezekana. Tuache kuizushia moja kwa moja serikali kilahisi ivo.
 
Hata DITTO alikana kumuua dereva aliekwaruza gari tena ya serikali ya Jamhuri so simshangai huyu wa leo.
 
Uzuri wa kazi hii unakuwa above the law, lakini inapotokea issues kama hizi sijui what huwa the next . . . . .
 
Hapana huu ndio mwisho wao, tutakuwa tunawaona mahakamani wakipelekwa kwa ulinzi mkali na kurudishwa kwa ulinzi mkali na hawa hawa polisi
 
una jirani usiyemfahamu....hna humfahamu msangi wewe...jana tu humu ndani wameweka barua ya msangi jinsi anavyoshirikiana na majambazi na iliandikwa na mwenzake ikatumwa kwa wakubwa....msangi humjui wewe kaa kimya...eti jirani yangu..unatubania pua hapa na kusema jamaa sio mafia!!!! ptyuuuuuuuu
kiongozi hivi huwezi kuandika bila kutukana mtu
 
thank you teacher .. wapo walioshabikia hili jambo! tulijaribu ku reason tukaambiwa magamba
tunajua msangi amepewa jukumu la uchunguzi ili kuficha ukweli na kama kiongozi wa uchunguzi lazima aende akamuhoji ulimboka kama sehemu ya uchunguzi pia anaweza kwenda ili kuua hisia kwamba anahusika hata mimi ambaye siyo jasusi ningeweza fanya hivyo sembuse yeye aliyesomea , hizo reason za kitoto wapelekeeni magamba wenzenu
 
Mh wadau hebu fungukeni hicho kikosi cah shusha shusha ndo cha nini wekeni mambo hadharani kuhusu kamanda wetu ACP Msangi
 
Jamhuri: Haya unayasema wewe, hivi unadhani jamii itakuamini kwa kauli hizi, haitaonekana unajitetea tu?
Msangi: Wakati anazungumza maneno haya, alikuwapo Profesa Museru ambaye ni Mkurugenzi wa MOI. Sina cha kuficha kamuulize tu, atakwambia alichosema Dk. Ulimboka. Yupo pia Dk. Deo, huyu ananifahamu na Dk. Ulimboka anasema walikuwa wote wakati anatekwa. Dk. Deo ananifahamu, akaulizwe iwapo mimi ndiye niliyemteka Dk. Ulimboka....

Hebu acheni kutufanya sisi wajinga sasa mmezidi.. kama kweli ye mwanaume achague TV yeyote aje aongee live na sio recorded, MSANGI WEWE BADO NI MTUHUMIWA WA KWANZA RUDISHA SIMU NA WALLET
 
Mh wadau hebu fungukeni hicho kikosi cah shusha shusha ndo cha nini wekeni mambo hadharani kuhusu kamanda wetu ACP Msangi
SHUSHA SHUSHA NI KIKUNDI CHA POLICI KINACHOKAMATA MALI ZINAZOTOKEA MIKOANI NAKUZIIBA NA HUYU NDIO KIONGOZI WAO chezea huyu mpare weye atakufa mdomo wazi huyu bwana
 
uzuri wa kazi hii unakuwa above the law, lakini inapotokea issues kama hizi sijui what huwa the next . . . . .

mtafutieni kabisa ulinzi huyu mtuwenu hapo juu.. Hamuwezi kuendelea kuua watu kila siku kama nyie ni miungu
 
huyu Msangi aache kucheza na akili za watanzania,awajibishwe haraka iwezekanavyo.Huu ubabe na ujuaji wa polisi havina tena nafasi kwa tanzania ya leo.
 
SHUSHA SHUSHA NI KIKUNDI CHA POLICI KINACHOKAMATA MALI ZINAZOTOKEA MIKOANI NAKUZIIBA NA HUYU NDIO KIONGOZI WAO chezea huyu mpare weye atakufa mdomo wazi huyu bwana

Duh sio mchezo ndo maana mishahara yao kiduchu sana halafu hata siku moja huwezi wasikia wakilalamika juu ya hilo wenyewe wanaendelea na maisha yao kama kawaida na unakuta wanamaisha ya juu kuliko kipato cha mishahara yao kumbe ndo mambo ya shusha shusha hayo na kamanda Msangi.
 
attachment.php

Look at him the brutal and assassin what a shame
 
Back
Top Bottom