Bonyeza link hiyoMsaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Mkuu pole sana nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi ya bawasiri upate kupona maradhi yako.Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Kuna therapy Moja naona imewasaidia wengi na hii changamoto ya bawasiri,kama uko serious nitakuelekeza uende Dar upewe hiyo therapy uitumie utanipa majibu,ukiitumia inashughulika na chanzo Cha tatzo,na kama ni bawasiri ya nje Yale manyama yanakatika yenyewe ila unatakiwa uachane na nyama,soda nyeus,kahawa,chips,chapati ,sembe nk,wapo mwanza na DarMsaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili

Uko mkoa gani?? Kama uko Dar, nenda Ubungo Plaza kuna clinic ya dawa za mitishamba ila bei yao imechangamka kidogo.Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Mkuu ni muda upo kmy sn kaka.Pole mkuu tafuta mafuta ya habat soda uwe unapakaa hapo utàpona
Badili life style.Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Nipo mwanzaKuna therapy Moja naona imewasaidia wengi na hii changamoto ya bawasiri,kama uko serious nitakuelekeza uende Dar upewe hiyo therapy uitumie utanipa majibu,ukiitumia inashughulika na chanzo Cha tatzo,na kama ni bawasiri ya nje Yale manyama yanakatika yenyewe ila unatakiwa uachane na nyama,soda nyeus,kahawa,chips,chapati ,sembe nk,wapo mwanza na Dar
Bawasiri ni maradhi mabaya mno ya kutoka nyama njia ya haja kubwa,wakati mwingine huandamana na upele pembeni yake.I'm sorry, bawasiri ni nini?
Wasiliana na Charles uende uonane naye akupatie dawa ipo siku utanishukuru kiongoz nambar yake ni 0652946660 yupo Igogo,Nipo mwanza
Poa thanksWasiliana na Charles uende uonane naye akupatie dawa ipo siku utanishukuru kiongoz nambar yake ni 0652946660 yupo Igogo,
Tafuta matunda damu..kwa siku hakikisha unakula 6. Yahifadhi frijini...kila siku kula 6. After 2 weeks naamini utaona kituMsaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
SanteTafuta matunda damu..kwa siku hakikisha unakula 6. Yahifadhi frijini...kila siku kula 6. After 2 weeks naamini utaona kitu