Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

Pole mkuu tafuta mafuta ya habat soda uwe unapakaa hapo utàpona
 
Ingia hapo shuuda kama zotee
 
Fanya haya kutwa mara tatu Hadi upone,
1. Badilisha chakula kwa muda ule chakula chenye fibres mfano viazi vitamu ( Red sweet potatoes) , machungwa na kamba kamba zake etc.
2. Twanga kitungu swaumu ( garlic ) changanya na mafuta ya mgando ( petroleum jelly or baby care) uwe unapaka huko na unasukumizia ndani ukiwa nyumbani
3. Uwe unakalia maji ya vugu vugu ( lukewarm water) yaliochanganywa na garlic at least three times a day for twenty minutes ( kalia kwa dakika angalao 20) , ukimaliza ndo uingize garlic yenye mafuta.
4. Uwe unajitawaza na maji ya vugu vugu kipindi chote hicho ukimaliza kufanya haja kubwa.
5. Usitumie sana choo Cha kuchuchuma lkn kama huna choo Cha kukaa bas tumia tu, kunywa maji japo Sio muhimu sana.
NB: Ukifuata hayo juu utapona kabsa kama tatizo ni bawasiri, usipopona hilo ni tatizo lingne nenda kwenye vipimo Zaid, utaona mabadiliko ndani ya wiki Moja na ndani ya wiki mbili naamin utakua upona kabsa na kama Kuna kinyama kilichotoka nje ( piles) kitakua kimerudi ndani au kupotea kabsa.
Kwa msaada Zaid unaeza kunicheki PM lkn fanya hayo kwanza na mungu akutangulie.
# No malice to anybody
#Huruma sio malezi
 
Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Kuna therapy Moja naona imewasaidia wengi na hii changamoto ya bawasiri,kama uko serious nitakuelekeza uende Dar upewe hiyo therapy uitumie utanipa majibu,ukiitumia inashughulika na chanzo Cha tatzo,na kama ni bawasiri ya nje Yale manyama yanakatika yenyewe ila unatakiwa uachane na nyama,soda nyeus,kahawa,chips,chapati ,sembe nk,wapo mwanza na Dar
 
Badili life style.
Usile vitu vya kukaanga vilivyokaangwa na mafuta machache au mafuta yaliyotumika kwa muda mrefu. Mfano chapati, maandazi, chips, kuku. Mafuta yoyote machafu ni sumu kwako.

Punguza ulaji wa wanga kwa kiasi kikubwa. Hasa ugali uliokobolewa aka sembe.

Kula zaidi organic. Ukipata majani ya maboga ndio nzuri mana haina iwezekano wa kuwa na sumu.

Jenga urafiki na matunda

Usikae mpaka aja ikubane sana ukachosha misuli.

kunywa maji mengi lakini yawe salama.

Tumia maji ya uvuguuvugu ukienda aja.

Pata muda wa kupumzika na mazoezi mepesi. Usinyanyue vitu vizito.

Kwa namna yoyote njia unayotakiwa kufanya ni detoxification. Utapona kabisaaaaa
 
Kuna therapy Moja naona imewasaidia wengi na hii changamoto ya bawasiri,kama uko serious nitakuelekeza uende Dar upewe hiyo therapy uitumie utanipa majibu,ukiitumia inashughulika na chanzo Cha tatzo,na kama ni bawasiri ya nje Yale manyama yanakatika yenyewe ila unatakiwa uachane na nyama,soda nyeus,kahawa,chips,chapati ,sembe nk,wapo mwanza na Dar
Nipo mwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom