Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

Jamani watanzania wenzangu tutafika kweli? Huu ni mda wa kulala nyie bado mko jamvin mnapiga porojo kuhusu nyimbo na beats. Tendeeni haki miili yenu.

Nakereka sana
 
Nafikili hiyo beat itakua ya. Rex rabanye. Huyo ndo mtaalam wa beat hizo. Mgoogle utapata beats zake nyiiiine Sana
 
Hiyo biti ni ya wimbo mwingine na video ni nyingine kabisaa!! Hiyo beat ni ya kitambo sanaaa japo siikumbuki jina lake! Inanikumbusha late 90s
Yes ya kitambo sana, enzi za akina mzee majuto na mzee small walikuwa wanapenda itumia kama themr na soundtrack kwenye zile vhs zao.
Ni beat ya zamani sana over 35 years ago
 
Udakwa Njalo wa Mafikizolo
Jina la wimbo wenye beat hiyo na muimbaji wake vimenitoka lakini siyo Mafikizolo japo picha zinazoonekana ni za huo wimbo uliotaja wa Mafikizolo. Beat hiyo ipo kwenye moja ya nyimbo za aidha Marehemu Pat Shange, Condry Ziqubu au kundi la Cheek to Cheek wote wa Afrika Kusini. Ulikuwa ni mmoja wa nyimbo maarufu zaidi ya miaka 20 iliyopita.
 
Asante kwa kunijuza, ukipata taarifa sahii za huo wimbo nijuze
 
Mkuu nishawahi leta uzi kuulizia jina la hili beat sikupata jina ila kuna siku nilipita kitaa nikakuta library fulan hv wanapiga. Basi nikatoa sh mia mbili nikaununua then nikalihifadhi Google drive ili nisije upoteza. Kwenye library hiyo ulikua umeandikwa beat la kumachi lakini kuna mwaka 2014 niliupataga kwa bro fulani hv ukiwa umeandikwa South Africa beat. By the way nina upload hapa down. Kanungila Karim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom