Amoni Mpanju keshazawadiwa, bado Polepole naye atazawadiwa

Hapa naona wewe ndio unambagua..Mpanju kalipwa fadhili kwa umashuhuri alionyeshe kipindi cha bunge la katiba na kampeni za CCM lakini kusema anauwezo basi CHENGE angefiti katika hiyo nafasi..

Na yule binti aliyegombea kiti na mtatiro bila kusahau yule binti aliye kwenda Dubai na Mbowe twambie walilipwa fadhira kwa kufanya nini?
 
Kweli we lofa. Sasa kama magufuli ni Ccm we ulitegemea awe mwana ukawa? Tehteh we kweli unachekesha.

Kwani hasimamishi mpaka asipate dem mkali? Mbona mnapenda kunyanyapaa watu? Mletee mama'ako uone kama hampigi bao 5. Kwa taarifa yako huyo mpanju anao uwezo wa kumtunza mama yako na familia yenu yote.

Mkuu alishakupitia nini ulijuaje km anamudu 5
 
Kweli we lofa. Sasa kama magufuli ni Ccm we ulitegemea awe mwana ukawa? Tehteh we kweli unachekesha.

Kwani hasimamishi mpaka asipate dem mkali? Mbona mnapenda kunyanyapaa watu? Mletee mama'ako uone kama hampigi bao 5. Kwa taarifa yako huyo mpanju anao uwezo wa kumtunza mama yako na familia yenu yote.
Lofa mama ako.
 
Kama ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania huwezi kushangaa ndugu Amon Mpanju kuteuliwa naibu katibu mkuu.
Huyu ni kijana alijitoa ufahamu kwenye swala la katiba mpya na kuzunguka na Rais wakati wa kampeni.Leo kalipwa fadhila yake kwa cheo.
Next ni PolePole huyu naye muda si mrefu lazima alipwe fadhila kwa kusimama kidete kumchafua Lowassa na hata kufikia sehemu akajiota ufahamu na kusahau uchaguzi wa Znz ulifutwa kimakosa na kibabe.
Stay tuned zawadi ya Polepole ipo njiani.
Wakili mpanju hajapewa zawadi,ameteuliwa kutokana na uwezo wake na pia ni lazima tuwape nafasi walemavu katika shughuli zetu kwani nao ni binadamu kama sisi
 
Ndani ya CCM hakutatokea Rais mwenye akili timamu wa kulisogeza Taifa mbele kimaendeleo. Hakuna jipya atakalofanya Magufuli. Ni mwendo wa kulipana fadhila tu. Eti Mpanju naibu Katibu mkuu wizara ya katiba na sheria, kiumbe ambae alikuwa mstari wa mbele kuisigina Rasimu ya Warioba iliyobeba maoni ya wananchi, na Magufuli akiwa anajua hilo, anamteua kwenye nafasi hiyo. Maana yake tusitarajie katiba ya wananchi bali ya nyumbu wa kijani. Magu ni wa hovyo kama mtangulizi wake
Usiongee vitu kama unatoka sayari nyingine sio hii,hivi kwa akili yako ukawa wangeshinda wasingepeana vyeo? Iwapo kwenye viti maalumu vya ubunge wamegawana hovyohovyo senbuse serikali si ndio wangewana kiukoo
 
Upo kimkakati zaidi kwa hiyo mleta mada u sahihi
 
Na yule binti aliyegombea kiti na mtatiro bila kusahau yule binti aliye kwenda Dubai na Mbowe twambie walilipwa fadhira kwa kufanya nini?
Chadema ililipa fadhira viongozi Wa ccm kwa kuwapa viti maalumu!! Baada ya kufanikisha wizi Wa kura.

Hivi chama ambacho ni makini na kina katiba yake kinaanzaje kuteua viongozi Wa ccm kuwa viti maalumu chadema?!? Inasikitisha sana ,na ni lazima uwe nyumbu tu ndio ushabikie chadema
 
Futa povu mdomoni,Unachafua watu
 
Wivu wa bavicha, kama mtu anapiga kazi na ateuliwe tu! Ningependa Polepole apewe angalau ukuu wa wilaya na Makonda apewe Dar yote!
Ni serikali ya sisiemu, mlitaka apewe @Ben Saanane?
 
Back
Top Bottom