Amoni Mpanju keshazawadiwa, bado Polepole naye atazawadiwa

Huyu Amon Mpanju ana akili nzuri tuu.. Kama sikosei Kasoma HGL mzumbe miaka hiyo wanachukua wanafunzi walio faulu vizuri olevel.. Pia kasoma sheria Mlimani pale.. kwa hiyo swala la uwezo nadhani lisiingizwe hapa tofauti na Polepole.. nasikia hajamaliza hata Degree yake..
unaenda OP,unaikumbuka katiba aliyokuwa anaipigania Mpanju?
 
Ni suala la muda tu,lazima atazawadiwa hata ukuu wa wilaya..Ccm ni ileile Jana na Leo,tusitegemee maajabu makubwa ya maendeleo
 
Amoni mpanju ana uwezo kuwazidi viongozi wa chadema...
Mnafikiri kwakuwa chadema na Mbowe hugawa vyeo kwa wachumba basi mnafikiri kila mtu...

Tunamjua mna mdharau na kumbagua kwakuwa ni mlemavu na hii laana ya ubaguzi haito waacha
Pamoja na ulemavu wa macho, MPANJU pia ni mlemavu wa akili.
 
Amoni mpanju ana uwezo kuwazidi viongozi wa chadema...
Mnafikiri kwakuwa chadema na Mbowe hugawa vyeo kwa wachumba basi mnafikiri kila mtu...

Tunamjua mna mdharau na kumbagua kwakuwa ni mlemavu na hii laana ya ubaguzi haito waacha
Hawa watu ni wabaguzi sana kuna hata kipindi walikua wanamtukana mama yake Zitto kwa ule Ulemavu wake kisa hawampendi Zitto.

Lakini mi niwakunbushe kuwa Ccm ina hazina kubwa mno ya rasilimaliwatu. Na mbali ya kuwa kipofu lakini ana Elimu kuliko huyo Mwenyekiti wenu. Huo ndo ukweli japo unauma.
 
Amoni mpanju ana uwezo kuwazidi viongozi wa chadema...
Mnafikiri kwakuwa chadema na Mbowe hugawa vyeo kwa wachumba basi mnafikiri kila mtu...

Tunamjua mna mdharau na kumbagua kwakuwa ni mlemavu na hii laana ya ubaguzi haito waacha
kama kwa mtazamo wako mpanju unamuweka kundi la wenye akili basi wewe ni zuzu kuliko mazuzu yote yaliyopata kutokea duniani sidhani hata kama una akili za kuvukia barabara
 
Endapo Lowassa angeshinda urais unategemea Sumaye na Lau Masha wangeachwa hivi hivi?
Inabidi ukapigwe msasa wa shule ya siasa mkuu.
Ni kitu cha kawaida mtu kuteuwa watu anafikiri atafanya nao kazi vizuri, ni wazi kuwa kama lowasa angepita, mtu kama Rostam angeweza kupatiwa ukatibu mkuu so i dnt see the problem here..
 
ni kweli ila , ww angalia je watafanya kwa ufanisi kazi za wananchi??

Kama ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania huwezi kushangaa ndugu Amon Mpanju kuteuliwa naibu katibu mkuu.
Huyu ni kijana alijitoa ufahamu kwenye swala la katiba mpya na kuzunguka na Rais wakati wa kampeni.Leo kalipwa fadhila yake kwa cheo.
Next ni PolePole huyu naye muda si mrefu lazima alipwe fadhila kwa kusimama kidete kumchafua Lowassa na hata kufikia sehemu akajiota ufahamu na kusahau uchaguzi wa Znz ulifutwa kimakosa na kibabe.
Stay tuned zawadi ya Polepole ipo njiani.
 
Akiapishwa
 
Attachments

  • 1451711383582.jpg
    1451711383582.jpg
    30.6 KB · Views: 23
Ni kitu cha kawaida mtu kuteuwa watu anafikiri atafanya nao kazi vizuri, ni wazi kuwa kama lowasa angepita, mtu kama Rostam angeweza kupatiwa ukatibu mkuu so i dnt see the problem here..
Do rostam katibu mkuu hazina sipati picha hicho chungu chetu
 
Amoni mpanju ana uwezo kuwazidi viongozi wa chadema...
Mnafikiri kwakuwa chadema na Mbowe hugawa vyeo kwa wachumba basi mnafikiri kila mtu...

Tunamjua mna mdharau na kumbagua kwakuwa ni mlemavu na hii laana ya ubaguzi haito waacha
Hapa naona wewe ndio unambagua..Mpanju kalipwa fadhili kwa umashuhuri alionyeshe kipindi cha bunge la katiba na kampeni za CCM lakini kusema anauwezo basi CHENGE angefiti katika hiyo nafasi..
 
Who paves the way for the great,paves the way to his own greatness.

Kama wana sifa wala haina shida.

Nilimsikia akijitambulisha kama mwanasheria so yawezekana hata CV yake ni nene kuliko mwenyeketi.
 
Who paves the way for the great,paves the way to his own greatness.

Kama wana sifa wala haina shida.

Nilimsikia akijitambulisha kama mwanasheria so yawezekana hata CV yake ni nene kuliko mwenyeketi.
Huo ndo ukweli CV ya mpanju kubwa kuliko ya mbowe.
 
Magufuli sio wa kumuamini as long as ni mwana ccm.mengi yanakuja na watu watajuta kumuamini....

happy new year!!
Kweli we lofa. Sasa kama magufuli ni Ccm we ulitegemea awe mwana ukawa? Tehteh we kweli unachekesha.
Mpanju sasa hvi atapata dem mkalii!!!

Kwani hasimamishi mpaka asipate dem mkali? Mbona mnapenda kunyanyapaa watu? Mletee mama'ako uone kama hampigi bao 5. Kwa taarifa yako huyo mpanju anao uwezo wa kumtunza mama yako na familia yenu yote.
 
kama kwa mtazamo wako mpanju unamuweka kundi la wenye akili basi wewe ni zuzu kuliko mazuzu yote yaliyopata kutokea duniani sidhani hata kama una akili za kuvukia barabara

Kwanini mnaendekeza ubaguzi? tunajua unamuona hana akili kwakuwa ya ulemavu wake wa macho lakini usisahau hana tofauti na Lissu.
 
Back
Top Bottom