princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,174
- 18,195
nimependa hio asiehusika na show ashuke



Umetumbua majibu bila ganzi wala huruma mkuu.amsadie vanessa mdee mapema kabla mambo hayajaaribika......
pia aongee na mose iyobo kazi ya udancer inamtosha so upunda sio inshu na itamtokea kwapani.
Ili iwejeAache bangi
Hah haaaIli iweje
Watu wanakurupuka tu.jitu linskunywa pombe tena levi kabisa lakini kutwa kunyooshea vidole wala ndumu,Hah haaa
Ahha haaWatu wanakurupuka tu.jitu linskunywa pombe tena levi kabisa lakini kutwa kunyooshea vidole wala ndumu,
Mi namwambia tu akae akijua mimi km mshabiki wa hiphop sijawahi kusikia ngoma kali kutoka kwake kama "Mstari wa mbele"
Mpaka hivi leo nadhani Haitakuja kutokea tena Kalapina kutoa ngoma kama hiyo.
Sasa nini kimekushangaza mkuu?
Funguka mkuuamsadie vanessa mdee mapema kabla mambo hayajaaribika......
pia aongee na mose iyobo kazi ya udancer inamtosha so upunda sio inshu na itamtokea kwapani.
Asee kumbe uliyoyasema ilikuwa ni kweliamsadie vanessa mdee mapema kabla mambo hayajaaribika......
pia aongee na mose iyobo kazi ya udancer inamtosha so upunda sio inshu na itamtokea kwapani.
Ndio hiki tunakoenda kukisikia.. Jamaa kumbe alikuwa kweli kuhusu VanessaUmetumbua majibu bila ganzi wala huruma mkuu.![]()
Vanessa ndio umejua leo?Mbona huu mwaka wa pili?Ndio hiki tunakoenda kukisikia.. Jamaa kumbe alikuwa kweli kuhusu Vanessa
Huyu sikujua kabisa ila madam niligongana nae ktk birthday ya malaika alikuwa na alosto yaan ya kutetemeka kabisa akaja bwana rasta akampa mambo yake!Vanessa ndio umejua leo?Mbona huu mwaka wa pili?