Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 14,529
- 45,039
Wanadhani vipato vinafananaKunae mmoja alipata mil. 300 watu wanajiropokea tu
Wanadhani vipato vinafananaKunae mmoja alipata mil. 300 watu wanajiropokea tu
No general formula. Mke ni tabia wala sio kazi yake. We katoe Posa, umuoe Daktari wetu mpendwa.Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).
Karibuni
Yeah na huo ndo ukweli,watu wa hii mikoa ya pwani kiukweli bila hiyana ndio mikoa inayofuga watu wajinga sana kupindukia na ata kwenye utafutaji wa mali wao wapo nyuma sanaKama ulikuwepo vile, fani za watu wenye akili darasani mfano udaktari, uinjinia, au kombi za PCM na PCB, utakuta ni mikoa ya Kanda ya ziwa (kasoro wahaya, wao ni masomo ya arts), wazaramu na watu wa Tanga, Lindi na Mtwara, wakitoboa sana labda form four, tena hapo watapata division four au ziro kabisa.