Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

Kama umeanza kujiuliza hivi, basi haumfai. Utamsumbua, utajiona hautoshi kwake. Mikwaruzano ya kawaida utaweza kuona anakudharau. Kifupi yeye ndio atateseka kuwa na wewe

Madaktare wanawezana wenyewe au ndugu zao wengine kwenye kada za afya
 
Sikuwahi kubahatika kumwoa MD isipokuwa kudate naye

Have dated MD wa kike almost 2 good years

Hawana tofauti na Wanawake wengine isipokuwa kiburi na majivuno off which Sina uhakika na madaktari wengine wa kike kama wapo hivyo

U-busy busy (usiwe na wivu, anaweza kupigiwa simu Kuna mgonjwa na akakimbia faster kwenda kutoa huduma) 🙌

Ilikuwa akipata nafasi ya Kuja kunisalimia, alihakikisha nam-fuvk Siku nzima hadi chakula anafanya kuagiza tu na boda
 
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).

Karibuni
Changamoto nyingi hutokana na tabia ya mtu na si kazi yake.

Makazini kila mtu hua na tabia yake hivo huna haja ya kuhofia chochote.
 
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).

Karibuni

Having someone with medical knowledge is always a plus. But on the other hand, you’d better hope she’s a God-fearing woman—because she has a thousand ways at her disposal to give you a 'natural' death, if you know what I mean.
 
uwe kama yeye docta au mfamasia wa level za juu master au doct...si unajua mfumo wa elimu tanzaania kupata md kwanzaufaulu sana pili upate ufadhili au familia yako ifadhili masomo yako9kuna levels flan hivi wanajiweka.... kwa hio mzee hata kupiga miti utapangiwa lini azae na azae wangapi we utapangiwa mpaka useme hadi siku ya ndoa iwe lini atapanga yeye na familia yake...jaribu uone...
 
Sikuwahi kubahatika kumwoa MD isipokuwa kudate naye

Have dated MD wa kike almost 2 good years

Hawana tofauti na Wanawake wengine isipokuwa kiburi na majivuno off which Sina uhakika na madaktari wengine wa kike kama wapo hivyo

U-busy busy (usiwe na wivu, anaweza kupigiwa simu Kuna mgonjwa na akakimbia faster kwenda kutoa huduma) 🙌

Ilikuwa akipata nafasi ya Kuja kunisalimia, alihakikisha nam-fuvk Siku nzima hadi chakula anafanya kuagiza tu na boda
Mbona umeandika kama binti ?
 
Back
Top Bottom