Am I falling in love or is just a crush?

No ur not too late baby girl. Dnt let society standards define you. Kwanza huyu kaka muache atakuchuna wewe tafuta aguy atakae kupenda huyu hakupendi. Hata siku akikuonesha attention don't fall fr it atakukula halaf akupotezee muda zaidi utajikuta ur 35 then anaenda kuoa 25 shinda moyo kipenzi
Asante kwa kweli. Na haoni shida kunichuna nadhani, maana yupo tayari nilipe bill za outings japo sijatoka nae
 
Inaonekana DAT man is more physically attractive than u, so he's above ur league... Na ur crush pia utakuta nae anamzimia dem ambae is more attractive than him (out of his league)..so Mara nying instance kama hizo watu huishia kuumizana labda umuombe Mungu akuchagulie mume Bree ven
 
Asante kwa kweli. Na haoni shida kunichuna nadhani, maana yupo tayari nilipe bill za outings japo sijatoka nae
Sasa do this nikupe tips shosti NVR ever ever everrrrrr fall in love with a guy ambae haoneshi interest me najua kuna wakaka kibao umewaweka kwenye friend zone half unahaingaika na huyu .najua tu siku atakwambia let's go out aisee ruuuuun usiskilize ushauri wa watu wanaokwambia sjui funguka nop don't do that hta yy akikufataa run atakutesa. Ww ndo utakua mlipa bills hlf anatafuta a girl anaempenda anamuhonga hela zake na zako pia. Yani siku demu akimwambia bebi nataka laki moja anakutext ww bebi nipe lakimoja half inatumwa huko kwngn tulia utapata a great guy
 
Sasa do this nikupe tips shosti NVR ever ever everrrrrr fall in love with a guy ambae haoneshi interest me najua kuna wakaka kibao umewaweka kwenye friend zone half unahaingaika na huyu .najua tu siku atakwambia let's go out aisee ruuuuun usiskilize ushauri wa watu wanaokwambia sjui funguka nop don't do that hta yy akikufataa run atakutesa. Ww ndo utakua mlipa bills hlf anatafuta a girl anaempenda anamuhonga hela zake na zako pia. Yani siku demu akimwambia bebi nataka laki moja anakutext ww bebi nipe lakimoja half inatumwa huko kwngn tulia utapata a great guy
Hii kweli, nimeiona kwa rafiki zangu wengine wa kike wanavyoliwa. Sikuwahi kufikiria kua ni rahisi kiasi hiki
 
Your style of writing profiles a no-keeper type. 29er should be a woman, not a girl. Maybe that's what scaring the brothaman away, I would be. You need some self evaluation first, otherwise you'll keep taking them Ls.
Acheni kukariri.
Cyo lazima wote tufanane ktk kila jambo.
 
Ngoja nijiassess sio mim ninaependwa kweli... ??? Maskini kumbe kuna mtu namuumiza..
 
pole sana,mwombe akutembelee....Akifika home kwako cha kwanza kisses hata ikiwezekana deepkisses.....Ataelewa tuuuu
 
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.

Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.

Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.

Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.

Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende. . Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.

Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...


mbombo ngafu...mwe!!!
 
Ngoja nikaunde id mpya, huyu mdada anaonekana anajua kupenda kisha kuna jamaa analeta komedi.

Kwanza siyo vizuri kuwa na mpenzi ofisi moja au nyumba moja (kama ya kupang). Hayo ni maeneo yako unayotakiwa kuwa stress free, now if you can't be stress free in those two places where else are you gona put your mind at rest? In your grave?

No way nakuja pm na id mpya...
Mkuu castr acha uhaini.. Yaani nmecheka nahisi hadi huko uliko umesikia cheko langu et no way qy nakuja pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom