Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,532
- 34,909
Tuache utani jamani..Malaika gani wampokee???
mkuu pesa ndiyo inawafanya wakubaliane na hayo.....Tuache utani jamani..Malaika gani wampokee???
Mkuu chakushangaza wenyewe hawajajiandaa lakini wanatoa hukumu.Nyie mnaohukumu ni kama nani? Kama alistaafu Kucheza ngono since last year, mnajuaje kama ametubu? Achezi hizo, kazi ya kuhukumu ni ya Muumba tu
U guys are being too judgemental utadhani hamfanyi dhambi wala makosa yenu yatawaeleka peponiUkaungue moto ndo utajua mungu yupo.
Akavune alichopanda sasa,Mungu amrehemu.
haa we boya kweli...ila nlidhanintakuta jina nalofahamu...huyu sikujua mpigoyakeyakoje sijui nimfatilienione unajua nilishaachaga miaka 6 iliyopita aya mambo haokina cherokee..ava devine..ayana angel..floertcci...sydney kappri styles etc ndio walikuwa wako balaaNilidhani Cherokee au toni sweets, ngoja baadae nizame mtandaoni nione kei yake ilikuwaje kimuonekano.
R.I.P.
Hahaaaahaaa! Umesahau na pinky.ha
haa we boya kweli...ila nlidhanintakuta jina nalofahamu...huyu sikujua mpigoyakeyakoje sijui nimfatilienione unajua nilishaachaga miaka 6 iliyopita aya mambo haokina cherokee..ava devine..ayana angel..floertcci...sydney kappri styles etc ndio walikuwa wako balaa
Makosa tunafanya mkuu hatukatai,na hakuna asiekuwa na dhambi ila kuna dhambi mtu ukiifanya tena hadharan lazima tuhukumu..mtu anajua kabisa kuzini ni dhambi(unless uniambie hakuwa akiamini uwepo wa Mungu)leo akacheze films za ngono afe tusikitike?,kumbuka hizo video zake alizocheza zipo mtandaoni dunia ya leo sio ajabu zikaja kumuharibu hata mwanao.sina haki kuhukumu lakini nasema akapokee alichojiandalia.U guys are being too judgemental utadhani hamfanyi dhambi wala makosa yenu yatawaeleka peponi
Bado gigy.Ukaungue moto ndo utajua mungu yupo.
Dah sijui MUNGU anampokeaje huyo, ila ya MUNGU mengi unaweza kuta kaenda PEPONI