Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini

Mnaomhukumu huyu dada mnakosea, dhambi ni dhambi haijalishi umeifanya IN PUBLIC au IN PRIVACY!
 
Kweli Mungu acheni tu aitwe Mungu huku zake si za mwanadamu, yani zambi zote alizofanya lakini kafa kifo cha raha mustarehe pengine alitubu na kuungama
 
ImageUploadedByJamiiForums1459863748.939337.jpg

Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Meghan Wren
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.
Marafiki na waliokuwa wafanyikazi wenzake walituma ujumbe katika mtandao wa Twitter wakimuenzi mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye alifariki usingizi wikendi iliopita.
Amber alikuwa nyota wa filamu za ngono kwa muongo mmoja kabla ya kujiuzulu mwaka 2015.
Alikuwa miongoni ,mwa kundi moja la wanawake ambao walidai kwamba James Deen,ambaye pia ni nyota wa filamu za ngono alimshambulia.
Hatahivyo Deen amekana madai hayo.
Mkaguzi wa matibabu katika kaunti ya Los Angeles ameiambia Newsbeat kwamba hakuna sababu rasmi ya kifo chake iliothibitishwa.
Hatahivyo wamesema kuwa familia yake imearifiwa.Bi Rayne ,ambaye jina lake rasmi ni Meghan Wren,alitangaza kujiuzlu kutoka kazi hiyo mwaka uliopita.
Wafanyikazi wenza katika soko la filamu za ngono walituma ujumbe wa kushtushwa na kifo chake.
NB: nilipoona hii habari bbc nifuatilie kazi zake, kwa kweli alikuwa mchapa kazi, ningewawekea links hapa ila wasiwasi wangu mods watazingua. ila kama wataka google 'amber rayne' mwanzoni utaonana links za taarifa za kifo chake ila ukiscrow kidogo utapata links za kazi zake, check afu leta mrejesho hapa. Alazwe pema
 
nakumbuka alishawahi pata tuzo sifahamu mwaka gani AVN awards, yani adult video network, kwamba msanii aliyeongoza kutoa tigo mwaka huo na akapewa zawadi cha ajabu wazazi wake wakapanda jukwaani kumshukuru mtoto wao ndo nikasema hawa jamaa ni majuha aisee
Aloooh kumbe
 
Back
Top Bottom