Aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Ulinzi wa Kagame ahukumiwa miaka 21 jela

Wengi wenu hamjui siasa za Rwanda. Kama kuna nchi yenye usataaarabu Africa ni Rwanda. Kwa watu waliyozea maisha bila utaratibu ndo mnajikuta mkiishambulia Rwanda. kimsingi..ikiwa umezoea maisha ya utaratibu kama Rwanda, basi ukitoka ukaenda nchi kama kenya, uganda and worse Tanzania, ndo utaona tofauti. nadhani wengi wenu pia humjui dhana nizima ya Genocide ..tena against Tutsis..tarehe 7 APril, fuatilia media za huko Rwanda utapata jibu
 
Mkuu umemjibu vizuri kuitambua Rwanda hakuhitaji uende vijijini au uwe na degree kinachofanyika kwa huyu uliyemjibu ni ushabiki mimi nimekwenda Rwanda mwaka jana na nilikaa siku tatu niliona kama nimemaliza miaka kibao kwani uhuru hakuna kabisa huko na mtu yeyote anayeifananisha Tanzania na Rwanda hapana shaka atakuwa mgonjwa wa akili vijana wanakimbialia Tanzania kufanya biashara na wanasema sisi tuko peponi kwani kuna fursa kubwa sana ya kufanikiwa kuliko kule kwao Rwanda hata mama ntilie ukiwa pale mjini hawapo unaambiwa hawaruhusiwi mpaka wawe na hoteli ndiyo wafanye biashara sasa kwa uchumi wa Rwanda ni nani ataweza kujenga hotel kila mahali ili afanye biashara ya chakula? Hata kubadili katiba ilikuwa wanakuja askari wamevaa kiraia unaulizwa unataka PK aendelee au una maoni gani ole wako useme hutaki aendelee muda mfupi baada ya wale kuondoka cha moto utakiona. Binafsi sina kitu chema ninachoweza kujifunza Rwanda isipokuwa ubabe hilo linawezekana kwani kila baada ya mita mia tano kuna askari wamevalia kivita na wako tayari kumtwanga risasi yeyote watakayeona ni tishio kwa serikali na hawaulizwi kitu. Na ukitaka salama yako sifia PK tofauti na hivyo mponde uone utasahaulika na hakuna atakayejaribu kuuliza habari zako.

Nimecheka sana...Vijana wengi hapa TZ hawajawahi kusafiri kwenda nje ya nchi, na hawajui uzuri wa Tanzania na kwamba tupo huru kwa kiwango kikubwa kuliko nchi zote barani Afrika. Unakuta kijana hapa TZ anapiga kelele jukwaani eti 'wewe JPM taja mshahara wako na tupatie salary slips...'. Nenda kamwambie haayo KAGAME uone cha moto. Niliwahi kwenda research na kijana mmoja wa chuo kikuu, tulikwenda Singida, ndani vijijini. Basi huyo kijana alishangaa kuona Tanzania ilivyo kubwa...Kumbe yule kijana alizaliwa Mwananyamala akasoma shule ya msingi maeneo hayo hayo, sekondari akaenda Azania na baadaye akafanikiwa kwenda Chuo Kikuu Dar es Salaam. Yaani alikuwa hajawahi kutoka nje ya Dar es Salaam na baba yake alikuwa hampeleki kijijini kwake Ifakara kwao, basi ilikuwa ni shiida.
 
Wacha kuongea juu ya Rwanda..kuna nchi ambazo silent killers wa raia wake kama Tanzania? Recall what is happening now? Zanzibar 2011, every election in tanzania people loose life..eg. Mawazo of Geita, and many others unrecognized...its better you asses your own demises rather than jumping into Rwandese
Ukitaka kuongelea demokrasia ya tanzania then anzisha thread husika kwenye jukwaa letu la siasa, nitakuwa tayari kujadiliana na wewe kati ya Rwanda na Tanzania nani ana demokrasia...Ila thread hii hii inahusu Rwanda, lets stick to the thread iliyopo tafadhali.
 
Karibu Rwanda utajifunza mengi...ndo maaan your prezida kaamua kuja kujifunza. Rwanda imepiga hatua kubwa sana..ukiwa na wivu kama waswahili ni ngumu ku appreciate haya. Ukweli ni kwamba Rwanda kitakwimu iko bien kuliko the rest wa easterners na hata some kwa afirikaz katika sector mbalimbali. Sijui ni kwanini hutaki kukubali. Jeshi la Rwanda, polisi ndo haliendekezi njaa kama majeshi yenu. Imagine UN imesema uovu wenu Kongo...kubaka..anyway..you have a bulldozer prezida atawanyoosha na hapa amekuja kupewa nondo za kukabiliana na vibaka kama nyie
 
Wengi wenu hamjui siasa za Rwanda. Kama kuna nchi yenye usataaarabu Africa ni Rwanda. Kwa watu waliyozea maisha bila utaratibu ndo mnajikuta mkiishambulia Rwanda. kimsingi..ikiwa umezoea maisha ya utaratibu kama Rwanda, basi ukitoka ukaenda nchi kama kenya, uganda and worse Tanzania, ndo utaona tofauti. nadhani wengi wenu pia humjui dhana nizima ya Genocide ..tena against Tutsis..tarehe 7 APril, fuatilia media za huko Rwanda utapata jibu

I just like some short sighted people like you ,worse enough is that you will never have a critical thing in your life. Rwanda haina ustaarabu wowote isipokua watu wamechungwa kama ng'ombe na hilo ili watu wasije wakaanza ku-question badhi ya mambo ambayo hayaendi. Kuna vitu vingi Rwanda is lagging hehind kama IT pamoja na kujiita Singapor of Africa, huo ni ukweli na vijijini hali ni mbaya kuliko unavyoweza kueleza.Isipokua media haziko huru ku-report hivi vitu,hata uwe mtu wa nje (Foreign journalist/researcher) kuna vitu ukiuliza kwa nini hali iko hivi ,watu hawawezi kusema maana hawajui ww ni nani kama sio jasusi wa system. Na bila kukubali critics especially media ones huwezi kujua ulikosea au ulisahau wapi.Kwa mtazamo wangu Kagame alikua na opportunity nzuri ya kuweza kupeleka Rwanda kwa maendeleo mazuri zaidi maana kila mtu ni "YES SIR" na anatenda bila kuuuliza lakini hayo hayafanyiki, naona badhi ya watu wake wakaribu hawana tofauti na ww hapo wa kumjaza sifa kuliko kumshauri. So Endelea kusifia halafu mseme mko vizuri in East Africa.Hongereni. Genocide naona inaumiwa pia kama instrument ya kuendelea ku-traumatize wahanga wa hii kitu,kwa nini April wanaweka hizo filamu zinazoonyesha mauwaji,this is not healing rather traumatizing survivals wanaishi na hilo zimwi maisha yao yote na kuwasumbua .This should stop kwa mtazamo wangu
 
Karibu Rwanda utajifunza mengi...ndo maaan your prezida kaamua kuja kujifunza. Rwanda imepiga hatua kubwa sana..ukiwa na wivu kama waswahili ni ngumu ku appreciate haya. Ukweli ni kwamba Rwanda kitakwimu iko bien kuliko the rest wa easterners na hata some kwa afirikaz katika sector mbalimbali. Sijui ni kwanini hutaki kukubali. Jeshi la Rwanda, polisi ndo haliendekezi njaa kama majeshi yenu. Imagine UN imesema uovu wenu Kongo...kubaka..anyway..you have a bulldozer prezida atawanyoosha na hapa amekuja kupewa nondo za kukabiliana na vibaka kama nyie
1. Rwanda naijua vizuri sana, huna haja ya kunikaribisha. Inavyojulikana ni kuwa Rwanda ndio iliyomkaribisha Dr Magufuli, na sio ziara ya "kujifunza" chochote. Wanyarwanda ndio wanaokimbilia kuishi kama wakimbizi haramu nchini kwetu na si kinyume chake. Kama kuna cha kujifunza ni kwa Rwanda kujifunza toka Tanzania ili wananchi wake wabaki huko huko kwao.
2. Ni kweli kitakwimu Rwanda iko vizuri kuliko nchi nyingi sana Africa. Hilo tunakubaliana, na hakuna siku niliwahi kukataa hilo. Ila mara nyingi maana/mantiki ya takwimu hizo huwa potofu.
3. Samahani supposedly huna miezi hata sita humu JF, tumeanza kujadiliana majuzi, mbona tayari unaniita kibaka wakati sikumbuki kutukanana na wewe? Ukifungua ID mpya jifunze kuvaa uhusika! :D
 
Hapo kwenye bolds umemjibu vema sana.
 
kwani hujawahi tukunwa?...Wanyarwanda huja Tanzania coz ni shamba la bibi na watanzania hawana uzalendo ndo maana hata wanyarwanda wanamiliki mpaka ardhi yenu...ndo sababu nakuita kibaka maana ndiyo sifa kuu ya watu wasiyokuwa wazalendo...acheni mzaha pendeni nchi yenu...Raisi magufuli alialikwa Rwanda akakubali ...why hajakubali kwenda nchi zingine? jiulize...ni kwasababu hapa kuna meng ya kuijifunza..kubali acha kiburi cha kirangi
 
kwa hiyo kama niliwahi kutukanwa basi na wewe unitukane? Naona pia hujaridhika na sasa watanzania wote unatuita vibaka. Haya bwana. Tutafuata ushauri wako wa kuipenda nchi yetu na kufukuza wanyarwanda wote wanaogeuza nchi yetu kuwa shamba la bibi. Asante
 
nchi yetu? jMali hivi ni kweli ushapata uraia wa huko au unazuga tu kwa kujivalisha ngozi ya mbuzi?
 
kwani hujawahi tukunwa?...Wanyarwanda huja Tanzania coz ni shamba la bibi na watanzania hawana uzalendo ndo maana hata wanyarwanda wanamiliki mpaka ardhi yenu...ndo sababu nakuita kibaka maana ndiyo sifa kuu ya watu wasiyokuwa wazalendo...acheni mzaha pendeni nchi yenu...Raisi magufuli alialikwa Rwanda akakubali ...why hajakubali kwenda nchi zingine? jiulize...ni kwasababu hapa kuna meng ya kuijifunza..kubali acha kiburi cha kirangi
jMali , msamee kijana huyu Hajui kuwa Tanzania sheria yake Hairuhusu mtu ambaye sio mtanzania kumiliki ardhi, na hata hivyo Tanzania sheria yetu inasema ardhi Ni ya Umma ,
Na Ni ngumu mtu ambaye sio mtanzania kumiliki ardhi kabisa. Kutokana na taratibu zake za kununua ardhi na kupewa ati, Ukifuata utaratibu wote Ni ngumu Sana, labda hao wamepewa uraia, na Ni wale waliotoka na hamshahamsha za 1959 na 1973, labda uje kununua kwa illegal hakupe kwa hati ya kimila .
Pia mkuu hata wewe ukienda south Africa au marekani unauwezo wa kumiliki ardhi pia kutoka na sheria za uko, hata mtu akija Tanzania akiendana utaratibu afu sio mtanzania anaweza akapata kwa utaratibu.
 
Back
Top Bottom