Aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Ulinzi wa Kagame ahukumiwa miaka 21 jela

Kwa historia ya yaliyotokea 1994, mtu yeyote anayejaribu kuwa na nia ovu ya kuirudisha huko, au hata kufikiria tuu anastahili kunyongwa ili wengi wasiteseke tena. Hii ndiyo njia pekee. Rwanda hakuna muda wa malumbano tena...they/we have tested pain and unforgettable one...Lakini kumbukeni ni mahakama imefanya kazi yake. Hapa hakuna Rushwa labda shinikizo la siasa. Wangekuwa na chembe ya kuonewa basi wangekiweza kusamehewa na kupokwa vyeo vyao. Hata hivyo hawa ni watu waliotaka kuanza kutonesha yaliyokuwa miaka ya 1994. Ni vema wamehukumiwa ili iwe fundisho kwao. Najua wengi hawajui thamani ya amani coz hawajawahi kuikosa na ndiyo maana serikali yenu imeamua kupiga dili demokrasia. Uasi mwingi umetokana na mfanyayo hasa kila wakati wa chaguzi mf. Zanzibar na hata bara. Wabunge wengi pengine hasa wa chama tawala walipita kwa kuidhulumu demokrasi. Hawakuwa chagua la watu...sasa laana hiyo msipotubu ipo siku ...
 
APO KAGAME YUKO WAPI??????
ImageUploadedByJamiiForums1459633416.354971.jpg
Enzi hizo alijulikana sana (Afande PC)
 
Kwa historia ya yaliyotokea 1994, mtu yeyote anayejaribu kuwa na nia ovu ya kuirudisha huko, au hata kufikiria tuu anastahili kunyongwa ili wengi wasiteseke tena. Hii ndiyo njia pekee. Rwanda hakuna muda wa malumbano tena...they/we have tested pain and unforgettable one...Lakini kumbukeni ni mahakama imefanya kazi yake. Hapa hakuna Rushwa labda shinikizo la siasa. Wangekuwa na chembe ya kuonewa basi wangekiweza kusamehewa na kupokwa vyeo vyao. Hata hivyo hawa ni watu waliotaka kuanza kutonesha yaliyokuwa miaka ya 1994. Ni vema wamehukumiwa ili iwe fundisho kwao. Najua wengi hawajui thamani ya amani coz hawajawahi kuikosa na ndiyo maana serikali yenu imeamua kupiga dili demokrasia. Uasi mwingi umetokana na mfanyayo hasa kila wakati wa chaguzi mf. Zanzibar na hata bara. Wabunge wengi pengine hasa wa chama tawala walipita kwa kuidhulumu demokrasi. Hawakuwa chagua la watu...sasa laana hiyo msipotubu ipo siku ...

1. 1994 kwako wewe nadhani inamaanisha genocide against tutsis,...col byabagamba na rusagara ni watusi. Hoja ya 1994 hapo haipo. Ungefanya la maana kutafuta hasa kesi yao ilikuwa ni nini badala ya kuunganisha na 1994.
2. Mahakama za Rwanda haziko huru, uchambuzi wa wanasheria wote wakubwa duniani huwa wanachambua hukumu zake na kuzipinga. Ndio maana baadhi ya nchi mahakama zake zimezuia kurudishwa wanyarwanda waende kushitakiwa Rwanda (extradition) kwa sababu wamejiridhisha kuwa hawatatendewa haki kwa vile mahakama za Rwanda haziko huru! Hivyo hii hukumu kama zingine haina uhalisia wowote.
3. Unatufundisha demokrasia wakati kagame amekuwa rais toka 1994 na amerekebisha katiba ili aendelee post 2017? You can't be serious. Kagame kahusika kupindua Uganda chini ya NRA, kapindua Rwanda ya Habyarimana, kapindua DRC ya Kabila, na sasa anataka kupindua Burundi...wewe raia wake ndio wa kutufundisha sisi demokrasia? Watu wangapi wamekufa Zanzibar?
 
Mkuu naheshimu sana points zako ila zinakosa mashiko na facts naona zimejaa mihemko zaidi.Hebu kama mna sheria zenu zisome upya uzielewa kabla yaja kuongea non-sense hapa uone kama zinatenda haki au la.Watu tumekaa kimya ila si kwamba hatujui anayoendelea huko.Kulinganisha kesi hii na yaliotokea 1994 naona hujui unachokiongelea kabisa maana hakuna correlation.Huyu mmoja alikua mlinzi wa Kagame anahusikaje na genocide? Kuna chuki sasa hivi imetanda ndani ya RPF na nahisi kuna watu wanahitaji vyeo kwa kuwabebesha msalaba wenzao na ndo mambo kama haya ya kubambikiziwa kesi kama hizi na rais wenu kwa kujishuku aliofanya anakurupuka .Mtu anaefuatilia maswala ya Rwanda anajiuliza mwisho wa Kagame ni upi maana washirika wake wote naona anawamaliza akiwafunga wengine wakikimbia mmoja baada ya mwingine, hata hao waliobaki naona hawajui muda wala saa yao .Kuongelea mambo yetu Tz ni kosa la jinai huyajui na hutakaa uyajui,hatuna chochote cha kujifunza kutoka Rwanda iwe democrasia ,utawala bora ,hata hiyo public accountability inayoongelewa ni just international lobbying inayofanyika hakuna chochote cha maana.Rwanda haiishiyi Kigali tu,nenda vijini uone watu wanavyoishi kwenye lindi la umaskini,halafu utuletee matokeo.Maana hata kama si raia wa huko tunaenda kikazi tunaona maisha ya watu kwa ujumla.
Utanisamehe kama nimekukwaza,ila jifunze kuangalia vitu kwa jicho la pili kama we ni msomi kweli na ndo utaweza kusaidia ndugu zako na nchi yako.
 
Mkuu umemjibu vizuri kuitambua Rwanda hakuhitaji uende vijijini au uwe na degree kinachofanyika kwa huyu uliyemjibu ni ushabiki mimi nimekwenda Rwanda mwaka jana na nilikaa siku tatu niliona kama nimemaliza miaka kibao kwani uhuru hakuna kabisa huko na mtu yeyote anayeifananisha Tanzania na Rwanda hapana shaka atakuwa mgonjwa wa akili vijana wanakimbialia Tanzania kufanya biashara na wanasema sisi tuko peponi kwani kuna fursa kubwa sana ya kufanikiwa kuliko kule kwao Rwanda hata mama ntilie ukiwa pale mjini hawapo unaambiwa hawaruhusiwi mpaka wawe na hoteli ndiyo wafanye biashara sasa kwa uchumi wa Rwanda ni nani ataweza kujenga hotel kila mahali ili afanye biashara ya chakula? Hata kubadili katiba ilikuwa wanakuja askari wamevaa kiraia unaulizwa unataka PK aendelee au una maoni gani ole wako useme hutaki aendelee muda mfupi baada ya wale kuondoka cha moto utakiona. Binafsi sina kitu chema ninachoweza kujifunza Rwanda isipokuwa ubabe hilo linawezekana kwani kila baada ya mita mia tano kuna askari wamevalia kivita na wako tayari kumtwanga risasi yeyote watakayeona ni tishio kwa serikali na hawaulizwi kitu. Na ukitaka salama yako sifia PK tofauti na hivyo mponde uone utasahaulika na hakuna atakayejaribu kuuliza habari zako.
 
Mimi sio polisi wala mwanajeshi nachojua wenyewe walikua wanamuita hivo.
achana nae anakuzingua wakati hata hajui anachokisema! His Excellence Kagame alikuwa ni kamanda wa RPF na PC maana yake ni Political Chief
Mkuu naheshimu sana points zako ila zinakosa mashiko na facts naona zimejaa mihemko zaidi.Hebu kama mna sheria zenu zisome upya uzielewa kabla yaja kuongea non-sense hapa uone kama zinatenda haki au la.Watu tumekaa kimya ila si kwamba hatujui anayoendelea huko.Kulinganisha kesi hii na yaliotokea 1994 naona hujui unachokiongelea kabisa maana hakuna correlation.Huyu mmoja alikua mlinzi wa Kagame anahusikaje na genocide? Kuna chuki sasa hivi imetanda ndani ya RPF na nahisi kuna watu wanahitaji vyeo kwa kuwabebesha msalaba wenzao na ndo mambo kama haya ya kubambikiziwa kesi kama hizi na rais wenu kwa kujishuku aliofanya anakurupuka .Mtu anaefuatilia maswala ya Rwanda anajiuliza mwisho wa Kagame ni upi maana washirika wake wote naona anawamaliza akiwafunga wengine wakikimbia mmoja baada ya mwingine, hata hao waliobaki naona hawajui muda wala saa yao .Kuongelea mambo yetu Tz ni kosa la jinai huyajui na hutakaa uyajui,hatuna chochote cha kujifunza kutoka Rwanda iwe democrasia ,utawala bora ,hata hiyo public accountability inayoongelewa ni just international lobbying inayofanyika hakuna chochote cha maana.Rwanda haiishiyi Kigali tu,nenda vijini uone watu wanavyoishi kwenye lindi la umaskini,halafu utuletee matokeo.Maana hata kama si raia wa huko tunaenda kikazi tunaona maisha ya watu kwa ujumla.
Utanisamehe kama nimekukwaza,ila jifunze kuangalia vitu kwa jicho la pili kama we ni msomi kweli na ndo utaweza kusaidia ndugu zako na nchi yako.
haya, jicho la pili hili hapa In Rwanda, cooperatives help build a sustainable future kwa sababu hatutaki wamachinga ndio hasira zote hizo? we don't create problems, we bring solutions to it my friend!
 
Mkuu umemjibu vizuri kuitambua Rwanda hakuhitaji uende vijijini au uwe na degree kinachofanyika kwa huyu uliyemjibu ni ushabiki mimi nimekwenda Rwanda mwaka jana na nilikaa siku tatu niliona kama nimemaliza miaka kibao kwani uhuru hakuna kabisa huko na mtu yeyote anayeifananisha Tanzania na Rwanda hapana shaka atakuwa mgonjwa wa akili vijana wanakimbialia Tanzania kufanya biashara na wanasema sisi tuko peponi kwani kuna fursa kubwa sana ya kufanikiwa kuliko kule kwao Rwanda hata mama ntilie ukiwa pale mjini hawapo unaambiwa hawaruhusiwi mpaka wawe na hoteli ndiyo wafanye biashara sasa kwa uchumi wa Rwanda ni nani ataweza kujenga hotel kila mahali ili afanye biashara ya chakula? Hata kubadili katiba ilikuwa wanakuja askari wamevaa kiraia unaulizwa unataka PK aendelee au una maoni gani ole wako useme hutaki aendelee muda mfupi baada ya wale kuondoka cha moto utakiona. Binafsi sina kitu chema ninachoweza kujifunza Rwanda isipokuwa ubabe hilo linawezekana kwani kila baada ya mita mia tano kuna askari wamevalia kivita na wako tayari kumtwanga risasi yeyote watakayeona ni tishio kwa serikali na hawaulizwi kitu. Na ukitaka salama yako sifia PK tofauti na hivyo mponde uone utasahaulika na hakuna atakayejaribu kuuliza habari zako.
kwa hiyo hizo siku tatu, wameuliwa wangapi mbele ya macho yako? kwani wewe unaona ajabu TZ kuwa na fursa nyingi kuzidi RW? watu wako busy kujenga Economy ambayo watu wake kamwe hauto ongeza kuwafananisha na raia yeyote wa EAC, amini usiamini! kama akili zako zinakutosha basi angalia miradi iliyopo nchini inavyosimamiwa/ilipofikia soon nakuhakikishia ktakuja kuruka ukuta kama mlivyozoea kule SA! sometimes muwe mnatumia akili, sasa hao mama ntilie unafikiri wakiungana wakaenda Bank watakosa pesa ya kufungua hata ka restaurant? narudia, hatutaki umachinga, cooperatives is the way to go In Rwanda, cooperatives help build a sustainable future BTW a quick question my friend is this what they taught you at school?
Ce4plHHUUAEoUcr.jpg
 
Unauliza idadi ya waliouliwa kawaulize wauaji ndiyo wanajua wameua wangapi.
 
imageuploadedbyjamiiforums1459542221-090194-jpg.334126

His crime is mainly 'looking like' the right replacement for Kagame!
Right replacement for kagame? hahah,uongo uwe hata na ka dalili ka ukweli ukweli hahah. Huyo ndo awe replacement ya kagame hahah asee kweli mataahira duniani hawataisha
 
Unauliza idadi ya waliouliwa kawaulize wauaji ndiyo wanajua wameua wangapi.
sasa wewe siumetuletea habari kana kwamba ulizishuhudia hizo ndoto zako! ushagundua kwamba zilikuwa ni ndoto tu au bado unaweza kutupatia idadi kamili?
 
Aisee, halafu mbona tuhuma kama hizo kwenye serikali ya Rwanda huwa zinawagusa zaidi maofisa wa juu wa jeshi pekee?
 
1. 1994 kwako wewe nadhani inamaanisha genocide against tutsis,...col byabagamba na rusagara ni watusi. Hoja ya 1994 hapo haipo. Ungefanya la maana kutafuta hasa kesi yao ilikuwa ni nini badala ya kuunganisha na 1994.
2. Mahakama za Rwanda haziko huru, uchambuzi wa wanasheria wote wakubwa duniani huwa wanachambua hukumu zake na kuzipinga. Ndio maana baadhi ya nchi mahakama zake zimezuia kurudishwa wanyarwanda waende kushitakiwa Rwanda (extradition) kwa sababu wamejiridhisha kuwa hawatatendewa haki kwa vile mahakama za Rwanda haziko huru! Hivyo hii hukumu kama zingine haina uhalisia wowote.
3. Unatufundisha demokrasia wakati kagame amekuwa rais toka 1994 na amerekebisha katiba ili aendelee post 2017? You can't be serious. Kagame kahusika kupindua Uganda chini ya NRA, kapindua Rwanda ya Habyarimana, kapindua DRC ya Kabila, na sasa anataka kupindua Burundi...wewe raia wake ndio wa kutufundisha sisi demokrasia? Watu wangapi wamekufa Zanzibar?
Wacha kuongea juu ya Rwanda..kuna nchi ambazo silent killers wa raia wake kama Tanzania? Recall what is happening now? Zanzibar 2011, every election in tanzania people loose life..eg. Mawazo of Geita, and many others unrecognized...its better you asses your own demises rather than jumping into Rwandese
 
Back
Top Bottom