kucha ndefu
Member
- Aug 30, 2015
- 15
- 3
Maisha lazma yaendelee baada ya uchaguz waacha wale vyao kwa sasa
cute b, kama kweli unampenda Kiba basi usimtoe akili kiasi hiki kwamba eti anaweza kuburuzwa na mashabiki wa Wema! Hata huyo Wema ingawaje anaipigia kampeni CCM si kwamba mashabiki wake wote ni CCM! Huyo Kiba amewahi kutangaza wapo kwamba yeye ni UKAWA? Hivi kabisa unavyomuona yule Kiba amekaa KIUKAWA UKAWA yule? Binafsi ukiniuliza nani amekaa ki-UKAWA UKAWA kati ya Diamond na Kiba, jibu nitakupa Diamond na to be honest, tangu hapo, nilitarajia it's just a matter of time Kiba atajitokeza!TEAM WEMA NDIO WALIOMTAKA KIBA AANDIKE VILE KWA KUWA WANAMPAGA SAPORT
Ninachojua kiba ni UKAWA ila ameamua tuu asiangushe team WEMA.
BB unaumiza kichwa chako bure tu hapa... ni upepo tu! Huyo Dr. Slaa mwenyewe yamemshinda, mtakuja kuwa nyinyi? Hebu acheni mambo yenu... hapa hakuna kugawa mashabiki wala nini, watu wapo kibiashara sawa na Ndesamburo alipowahi kumkodishia chopa kada wa CCM wakati wa kampeni! Tena mkiwa mnalalamika namna hii mnatufanya kama mashabiki vilaza, kwamba kv Chibu na Kiba wamesema Magufuri ndo mpango mzima, basi wooooooooooooooooooote, kama nyumbu vile tunaenda kwa Magufuri!!!Msimamo wang uko pale pale wasanii kusapport siasa nikugawa mashabiki wao. Bora tungekua na vyama hata vitano au vitatu vikubwa, Bt viko viwili tu kwaio nikugawa watu pande mbili.
Waache wasapport wapendacho lkn kimuziki wao.
Wasanii ni waoga sana na wanadhani kusapport upinzani ikitokea ccm wakashinda wao baaas.
Afadhali mambo ya team yanaisha siasa oyeeeeeeeeeeeeeeee
Bado mie shabiki wake.
Ila akianza kutunga nyimbo za kukandia UKAWA au akianza kuweka picha ya CCM kwenye insta yake nitamkimbia rasmi but for now mimi ni shabiki wake.
Siri ipo kwenye sanduku la kura.
Afu ngoja nivujishe siri....
TEAM WEMA NDIO WALIOMTAKA KIBA AANDIKE VILE KWA KUWA WANAMPAGA SAPORT.
Ninachojua kiba ni UKAWA ila ameamua tuu asiangushe team WEMA.
Kiba for real
yes indeed, afanye tu apendacho , nami ntafanya nipendacho pia maana tunapambana<script id="gpt-impl-0.393772224147698" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_70r.js"></script> haswa kuhakikisha watu fulani wanaachia ngazi, kama yeye yuko upande wao nafikiri hatuwez kusafiri kwa kutumia boti moga.
PC
Yaani nimekerekwaaaaaa pambafffff na nusu!
Hivi Kiba huoni kama wewe ni influential person??!!!
Hivi ungepiga kimya kwani tungekuja kukuchungulia kuwa unampigia magufuli???!!!
Hivi ni nini lakini nyie wasanii kuturudisha nyuma???!!! Si mhifadhi kura zenu jamani mtazipeleka wenyewe kwenye mabox kwani lazima muende na za wengineeee???!!!! Msonyooooooooooooooooo
Senk yuu Muuza Sura! Tena we cute b hebu muombe radhi Kiba... yaani Kiba huyu huyu aliye-stick kwenye mpango wake wa kutom-follow yeyote leo hii ayumbishwe na Team Wema! Tena kwa ninavyomuona Kiba, nahisi kwa sasa anatamani sana kuwa-follow watu muhimu lakini ameamua kuleta ukauzu na ku-sticky kwenye imani yake ile ile ya awali.ntaacha kumkubali king kiba siku akiniletea dharau ila si kwa hili.....
Jana niliwaambia hapa kwamba Kiba anawaandaa kisaikolojia and possibly yupo mbioni kupanda jukwaani... nasikia leo kapanda jukwaani Mtwara!!!Aache kufanya kazi ili kukufurahisha wewe?
Jana niliwaambia hapa kwamba Kiba anawaandaa kisaikolojia and possibly yupo mbioni kupanda jukwaani... nasikia leo kapanda jukwaani Mtwara!!!
Senk yuu Muuza Sura! Tena we cute b hebu muombe radhi Kiba... yaani Kiba huyu huyu aliye-stick kwenye mpango wake wa kutom-follow yeyote leo hii ayumbishwe na Team Wema! Tena kwa ninavyomuona Kiba, nahisi kwa sasa anatamani sana kuwa-follow watu muhimu lakini ameamua kuleta ukauzu na ku-sticky kwenye imani yake ile ile ya awali.