Alikiba umetuangusha watanzania

watu sijui wapoje yani unatokwa mapovu na msanii kupiga mishe zake, utafikiri wakiandaa show za kwao za laki moja hivii mtaenda kazi kutoa maneno ya shombo tu kutwa nzima upo jf kupiga domo unaona kama ndio umemsaidia msanii yani we ndio kila kitu kwake ukipiga na vikura vyako unaona we ndio kama Mungu kwake...

huo ni ushabiki maandazi kabisa, na ulimbukeni wa kisiasa kubalehe juzi na kupata kichinjio kisikufanye uwehuke kubali utofauti wa kiitikadi na uhuru wa kujieleza... Wengine wanasema support mabadiliko, si kila unachokiona bora wewe na mwenzio aone bora inamaana huyo Unaemtaka kuwa Raisi amekuja kutaka mabadiliko baada ya kukatwa, je Yeye ni Mzalendo kama unavyofikiri???
 
Niliwapa changamoto hapa wanitajie mwaka huu tangu uanze wametumia shilingi ngapi kununua kazi za wasanii ili tuone uhalali wao wa kuwataka wasanii wasipige mchongo kwenye politics lakini kwa bahati mbaya hadi sasa sijapata jibu na sidhani kama nitapata!!!
 
Wengine walivyoshabikia Magufuri mliona wamekosea na hawajielewi!mkampamba kwa matarumbeta Allykiba kwamba ni mtu anayejielewa sasa leo veeepeeee?!

Hakuna cha clouds wala nini!hayo ni mapenzi yake binafsi na maamuzi yake bhaaas na wala hajahongwa wala kulazimishwa!Allykiba ni CCM.

Muwe munaweka akiba ya maneno jamani!ahahahaha
Sawa hebu niambie alishawahi kupiga show wapi ya siasa daimond alienda arusha na lowassa kiba ??
 
Ila Kiba nimemkubali ana IQ kubwaaa, kavizia cyber crime law imeanza kufanya kazi ndo katoa msimamo wake...Haya wale mdomo choo tukanenii lock up iwahusu...

Aiseee! Ametumia akili kubwa. Maana kila tusi angepokea.
 
watu sijui wapoje yani unatokwa mapovu na msanii kupiga mishe zake, utafikiri wakiandaa show za kwao za laki moja hivii mtaenda kazi kutoa maneno ya shombo tu kutwa nzima upo jf kupiga domo unaona kama ndio umemsaidia msanii yani we ndio kila kitu kwake ukipiga na vikura vyako unaona we ndio kama Mungu kwake...

huo ni ushabiki maandazi kabisa, na ulimbukeni wa kisiasa kubalehe juzi na kupata kichinjio kisikufanye uwehuke kubali utofauti wa kiitikadi na uhuru wa kujieleza... Wengine wanasema support mabadiliko, si kila unachokiona bora wewe na mwenzio aone bora inamaana huyo Unaemtaka kuwa Raisi amekuja kutaka mabadiliko baada ya kukatwa, je Yeye ni Mzalendo kama unavyofikiri???

Safi sana. Cc #teammashabiki maandazi. . Wakiongozwa na Dinazarde na nifah BansenBurner
 
Last edited by a moderator:
Sawa hebu niambie alishawahi kupiga show wapi ya siasa daimond alienda arusha na lowassa kiba ??
pwilo usiendelee kujimaliza tafadhali!yaani hapo Allykiba amewaweka Attention!!jiandae kumuona kwenye majukwaa akiinadi CCM.
 
Last edited by a moderator:
Bado mie shabiki wake.
Ila akianza kutunga nyimbo za kukandia UKAWA au akianza kuweka picha ya CCM kwenye insta yake nitamkimbia rasmi but for now mimi ni shabiki wake.
Siri ipo kwenye sanduku la kura.
Afu ngoja nivujishe siri....
TEAM WEMA NDIO WALIOMTAKA KIBA AANDIKE VILE KWA KUWA WANAMPAGA SAPORT.
Ninachojua kiba ni UKAWA ila ameamua tuu asiangushe team WEMA.
Kiba for real
 
Msimamo wang uko pale pale wasanii kusapport siasa nikugawa mashabiki wao. Bora tungekua na vyama hata vitano au vitatu vikubwa, Bt viko viwili tu kwaio nikugawa watu pande mbili.
Waache wasapport wapendacho lkn kimuziki wao.
Wasanii ni waoga sana na wanadhani kusapport upinzani ikitokea ccm wakashinda wao baaas.
 
Watanzania wengi hua hawana uwezo wa kutofautisha, siasa na uchumi, hivi vitu vinavutana saa zingine inakubidi ufanye kitu sababu ya kukuza uchumi wako hii inajumuisha hata kutumika kisiasa ili kuweza kufanya shughuli zako za uchumi zitoke au zikue toka sehemu moja kwenda nyingine...mtu kama unampenda mwanamziki fulani maana yake unapenda kazi yake ya muziki sio mitazamo yake ya kisiasa au vyovyote vile..mfano kuna watu wanapenda nyimbo za elton john ingawa ni shoga lakini jimbo lake la sacrifice wanalikubali sana....Watanzana tubadilike tufanye vitu vya kukuza uchumi binafsi...hahahaha

via mtazamo mpana at work
 
Kama ingekuwa kweli basi picha ingetangulia kabla ya maelezo. Hizi ni tetesi
 
mwakahuu tutayaona mengi. wakati wewe uko bize na Alikiba Sniper Wilbroad Slaa anamimina risasi za kutosha huko UKAWA hoi
 
Jinsi daimond alivyopost kuhusu ccm na kiba ni tofauti hamana kejeli wala vijembe kwa kiba na kiba sio ccm yule ni behind the scene utafanyaje wakati wao ndo wenye ukitaka kuamini hvyo hebu nitajie sehemu aliopiga show kiba ya siasa mwaka huu sema hana jinsi ni nguvu ya umma imemsukuma

Baba kubali tu yaishe, alichokifanya Diamond na Kiba yote ni yaleyale, nia ya post zote ni kumuingiza Magufuli Ikulu
 
Yaani nimekerekwaaaaaa pambafffff na nusu!
Hivi Kiba huoni kama wewe ni influential person??!!!
Hivi ungepiga kimya kwani tungekuja kukuchungulia kuwa unampigia magufuli???!!!
Hivi ni nini lakini nyie wasanii kuturudisha nyuma???!!! Si mhifadhi kura zenu jamani mtazipeleka wenyewe kwenye mabox kwani lazima muende na za wengineeee???!!!! Msonyooooooooooooooooo
 
Nguvu ya hawa wasanii ni kubwa mno tuacheni utani.
Inaudhi mtu kila siku unahangaika kuikampenia Ukawa alafu linakuja jitu moja linapost linawazoa hadi wale ulokuwa ushawashawishi!!! No no not rait! Ally umejua kuniudhi wallah!
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Amempost wapi ww
Mbona hutulii
 
Back
Top Bottom