Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 842
- 1,657
Habari zenu wakuu
Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi
Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu?
Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia kuwa application failed wakati kila kitu kipo sawa
Wapo watakaobisha sababu hawajakutana na shida hii na watajua natania
Mfano ulio hai: mimi na rafiki yangu wote tumesoma kozi moja, tukajaza taarifa zote sawa kwenye mfumo wa ajira portal... Zimekuja ajira tukaingia kwenye mfumo kuomba. Cha ajabu yeye imekubali, mimi imeandika application failed... Hapo shida ni nin? Sio ubaguzi huu?
Na sio mimi tu nayelalamikia katika hili, wapo na wengine wana changamoto km hizi
Ajira portal acheni longolongo