Ajira Jeshi la polisi

Kaka hamna hiyo sehem, vitu vya kuatach ni vyeti vya taaluma, barua ya maombi, CV kwa wataalam (Kuanzia cerificate mpaka degree holders ), passport size na Cheti cha jkt ambacho ni optional kwa mwenye nacho
Kama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem moja
 
Kama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem moja
Kaka mimi nilibahatisha siku ya pili lakin baada ya hapo kuna jamaa nilikuwa nimfanyie application mpaka leo mtandao haujakubali tena , japo simu ni ile ile niliotumia mwanzo
 
Mshahara shilingi ngapi na over time ni ngapi Kwa polisi wa kawaida ambaye mabega yake hayana maua maua?natamani kujiunga huko ili nijekuwashughulikia hawa vibaka.
 
Secure Connection Failed

An error occurred during a connection to ajira.tpf.go.tz. PR_CONNECT_RESET_ERROR

Error code: PR_CONNECT_RESET_ERROR

The page you are trying to view cannot be shown because the authenticity of the received data could not be verified.
Please contact the website owners to inform them of this problem.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom