Darvis Wantana
Member
- Feb 8, 2024
- 19
- 8
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
Kikubwa check namba mzeePolisi wengi hawaitajiki. Ukumbuke hawazalishi kwenye Pato la taifa.
Ila ni watoa huduma.
Jamaaa ka post tangazo la ajira kutoka jeshi la police zimetoka nyingineKikubwa check namba mzee
Hawa ndio unawakuta wenyewe wapo jikoni wanakuja huku kupima upepo kwanzaJamaaa ka post tangazo la ajira kutoka jeshi la police zimetoka nyingine
Nime pita website yao nimeona tangazo lao ....Kuna group Fulani mdau alituma Hilo tangazo jamaaa huwa hatumi matango pori mkuuu ila police wametisha asee hawapoi ju watu wamemaliza wakaja wengine Leo wengine tenaHawa ndio unawakuta wenyewe wapo jikoni wanakuja huku kupima upepo kwanza
Nafasi zimetangazwa ndio , ila mimi nilichocomment kisome vizuri ujue nilikuwa namaanisha nini mkuuNime pita website yao nimeona tangazo lao ....Kuna group Fulani mdau alituma Hilo tangazo jamaaa huwa hatumi matango pori mkuuu ila police wametisha asee hawapoi ju watu wamemaliza wakaja wengine Leo wengine tena
Ahaaa nimekupata mkuu thanks sahihi ahaaa Wana kuja ku zoom jobless waki pambania ugaliNafasi zimetangazwa ndio , ila mimi nilichocomment kisome vizuri ujue nilikuwa namaanisha nini mkuu
Nime pita website yao nimeona tangazo lao ....Kuna group Fulani mdau alituma Hilo tangazo jamaaa huwa hatumi matango pori mkuuu ila police wametisha asee hawapoi ju watu wamemaliza wakaja wengine Leo wengine tena
Kabisaa ndio ilikuwa maana yanguAhaaa nimekupata mkuu thanks sahihi ahaaa Wana kuja ku zoom jobless waki pambania ugali
KaribuWadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
KaribuNisaidie tangazo mkuu
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?