Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

Daaah Mungu awapumzishe ...ila mara nyingi wahindi ni rough drivers. .kuna siku muhindi/ alitu overtake kwa speed kali maeneo ya coco beach gari tatu kwenye kona...mbele akakutana na gari ingine ajali...
Kwan wamesema ni wahindi?
 
Daaah Mungu awapumzishe ...ila mara nyingi wahindi ni rough drivers. .kuna siku muhindi/ alitu overtake kwa speed kali maeneo ya coco beach gari tatu kwenye kona...mbele akakutana na gari ingine ajali...
barah barah cheee???????.
 
Hapo tatizo ni gari
Hayo magari ya kihindi wanatengenezea mabox tu
Pia tupunguze speed tunapokuwa na familia au tusisafiri fanilia nzima kwa wakati mmoja
 
  1. Mhindi/mwarabu hana subira kwenye traffic. Akiwa na dereva nasikia atampa matusi mpaka huyo dereva atanue, aovertake au aruke juu ili mradi asikae kwenye line. Nimeishi kwa hawa wenzetu honi za gari ni kama stering zao. Gari yako kama ndogo au gharama ndogo ndo heshima chini. Nimegundua wabongo wameanza huu mchezo halafu kuweka tinted kwenye gari. Wahindi/wabangla wanaficha wasiombwe na wengine wanakunywa kwenye gari sababu mfano bangla pombe nilipoishi kule hairuhusiwi hivo mtu analewa kwenye gari hivyo wanafunga vioo. Kutanua ni ile hali ya kujiona siwezi fanywa kitu nina hela, mi mhindi hawajui mhindi kwa sisi weusi ni mtu wa mwisho ila hatuwaambii macho kwa macho.

Mbora kati yetu ni yule amchae Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom