42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
Unaogopa nini kuwaambia macho kwa macho
- Mhindi/mwarabu hana subira kwenye traffic. Akiwa na dereva nasikia atampa matusi mpaka huyo dereva atanue, aovertake au aruke juu ili mradi asikae kwenye line. Nimeishi kwa hawa wenzetu honi za gari ni kama stering zao. Gari yako kama ndogo au gharama ndogo ndo heshima chini. Nimegundua wabongo wameanza huu mchezo halafu kuweka tinted kwenye gari. Wahindi/wabangla wanaficha wasiombwe na wengine wanakunywa kwenye gari sababu mfano bangla pombe nilipoishi kule hairuhusiwi hivo mtu analewa kwenye gari hivyo wanafunga vioo. Kutanua ni ile hali ya kujiona siwezi fanywa kitu nina hela, mi mhindi hawajui mhindi kwa sisi weusi ni mtu wa mwisho ila hatuwaambii macho kwa macho.