Hebu wacha urongo wako.Walivyotaka kumuua lowasa akawashinda mungu akasimama nae seif ndo watamuweza? Nani kasema ccm ni mungu?
Afya ya Lowassa kila mtu alikuwa anaijua afu unakuja kuzusha upuuzi huku JF.
Hebu wacha urongo wako.Walivyotaka kumuua lowasa akawashinda mungu akasimama nae seif ndo watamuweza? Nani kasema ccm ni mungu?
Huo ndio utapeli wenu wa kisiasa watu wa UKAWA.Mkigombea kwenye kampeni zenu mnasema tuchagueni ubunge,udiwani au umeya nk tulete maendeleo tuboreshe miundombinu ,hospitali nk Mkishafika mnapokea posho nk vitu mlivyosema mtafanya hamfanyi halafu mkishiba na kuvimbiwa hela za vikao na posho mnaanza kukebehi wapiga kura wanaowauliza kwa nini hiki hamjafanya mnaanza kejeli kwa kuwaambia kwani sisi ni serikali?
Hakuna watu matapeli kwa wapiga kura kama UKAWA
Hana dola but nimakamu wa Rais na kwenye hiyo SUK waziri wa afya ni kutoka kwake Rais alimuondoa baada kuona anashindwa majukumu yake na kumpa wizara nyengine nayo pia kachemka akakimbilia Chadema kuwa mgombea mwenza. Jiulize hivi mbona Chadema wanaweza na hawana ata waziri just madiwani na wakuu wa wilaya but wameanza kufanya uzuri kama tunavowasikia Makamanda wengi humu kwanini wao wasubiri mpaka wapate dola yote. fikiria zaidiIla Lumumba bwana!! Ya Maalim Seif ndio inakwamisha uboreshwaji wa Mnazi moja hospital, MTU asiye na dola???????????!!!
lakini hakuchaguliwa hio 2010 mkuu....maana alisema akichaguliwaKatika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
majukum yapi alioshindwa?Hana dola but nimakamu wa Rais na kwenye hiyo SUK waziri wa afya ni kutoka kwake Rais alimuondoa baada kuona anashindwa majukumu yake na kumpa wizara nyengine nayo pia kachemka akakimbilia Chadema kuwa mgombea mwenza. Jiulize hivi mbona Chadema wanaweza na hawana ata waziri just madiwani na wakuu wa wilaya but wameanza kufanya uzuri kama tunavowasikia Makamanda wengi humu kwanini wao wasubiri mpaka wapate dola yote. fikiria zaidi
Majukumu ya kuwatumikia wananchi wa Zanzibar kama waziri wa wizara ya Afya baadae kuwa waziri wa Mawasiliano na uchukuzi yote hayo yamemshinda na kujikuta anakuwa mbuzi wa kafara huko UKAWA, bahati nzuri au mbaya na huko amegaragazwa mkao ule anaopenda kuusema chaliiii ndembe ndembe kifo cha mende.LMAOmajukum yapi alioshindwa?
mnatafuta kigezo baadae mje kusema alikuwa mgonjwa.... mbafff zenyuu
Kwa mantiki ya hoja yako CUF na Seif ndio wanaoongoza serikali ya Tz na Serikali ya M. Zanzibar?ALA sasa kashindwa nini? Cheo cha makamu wa kwanza wa raisi ni kikubwa kuliko cha chief minister.Kama alifanya makubwa akiwa chief minister inatarajiwa kuwa akiwa makamu wa kwanza wa Raisi angefanya makubwa zaidi kuliko ya chief minister ikiwemo kwenye hiyo hospitali ya Mnazi mmoja.CUF watoto wa mjini wajanja fulani na matapeli fulani hivi wanaotumia uelewa mdogo wa baadhi ya wazanzibar kuwatapeli.
mngekubali kumpa nchi ili tuangalie anatibiwa hapo kweliKatika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
mkuu uwaziri ni swala pana mnoo ndo mana nkauliza ni majukum yapi aliyashindwa au alishindwa kila kitu....nashndwa kukuelewaMajukumu ya kuwatumikia wananchi wa Zanzibar kama waziri wa wizara ya Afya baadae kuwa waziri wa Mawasiliano na uchukuzi yote hayo yamemshinda na kujikuta anakuwa mbuzi wa kafara huko UKAWA, bahati nzuri au mbaya na huko amegaragazwa mkao ule anaopenda kuusema chaliiii ndembe ndembe kifo cha mende.LMAO
Kumbe ni gazeti la udaku! Tunavyojua kuwa yuko India kwa matibabu kama ilivyobainishwa na viongozi wa CUF wa Zanzibar. Wewe unaeleza yuko uingereza anapata matibabu, mtu huyohuyo au Seif mwengine?.
Alisema Akichaguliwa kuwa nani? Unaweza kutembea bara barani ukiwa umevaa suluali bila chupi lakini chupi bila suluali ni shida kidogo.Katika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
Mbona sumaye kaenda Muhimbili na wewe pia mnazi wa siasa hutaki kusema ukweli. Kuna wana ukawa wabunge ambao hawapokei posho na wanasaidia jamii zilizo wachagua. Maalim kuwa katika serikali ya mseto hana uwezo wa kukwepa lawama zile zile tunazowapa ccm. Ingekua nchi za wenzetu huyu Seif asingepata hata kura waulize Liberal democrat Uk waliingia mseto na Conservative, lakini sababu hawakusimamia ile ilani yao ya uchaguzi na kuweka viapaumbele vitu vilivyo wakwaza wapiga kura wamepoteza 50% ya viti vyao na kufanya conservative kuongeza viti bungeni. lakini hapa kwetu tuna siasa za kumpenda mtu sababu ni msanii anatumia lugha ya uongo lakini kumbe ni mchumia tumbo kama wenzake CCm. Tangu lini fisi anageuka kuwa sungura??? Maalim Seif ni zao la uozo wa CCM sawa kama Lowasa, sawa kama Sumaye hawataleta mabadiliko yoyote. naweza nikawa na Imani na Mbowe japo naye kaingia katika deal kuliko hawa waliokuwa wana CCM
Simba ndio hivo mnaipata ile kutangaza tu kuwa hakuna uchaguzi mnaharisha ..mnaogopa hata kutoa picha yake tu ...kama vidume basi wekeni tu picha ya sheni...Simba gani aliyeweza kujitangaza mshindi halafu akashindwa kujiapisha?