chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,087
- 16,736
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba kulikuwa kama unavyosikia congo na nchi nyengine mwanzoni na watawala ambao waliacha njiapanda ndio kule.
Japo umaskini wao ila ni watu waliokubari lolote na kujiweka kukabiliana na majanga yoyote sio tanzania USAID imesitisha vyoo na taasisi wameitisha vikao kuanza kujadili bungeni.
Hawa afghan wana kitu kikukubwa ambacho kina fanana pakistan sana kuwa hata tulichokuwa nacho tunaweza kukikuza.