Adui wa Saddam Hussein ajutia alichokifanya

Saddam hakuwa dikteta alitaka kuwaunganisha waarabu wote wawe kitu kimoja ndiyo mwamerika akamuwahi yeye na ghaddaf ameuwawa kwa sababu alitaka kuwaunganisha mataifa yote ya afrika na kupendekeza itoke sarafu ya afrika na kipindi kile alipendekeza kuwe na rais wa afrika nayeye alimpendekeza mandela ndiyo hayo yakatokea
 
Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake
Wazungu waongo halafu tunakubali uongo wao huku tunajua ni waongo. Na sisi tunawadanganya zaidi watu wetu. IMF Na WD wanatuambia uchumi wa Tanzania unapaa tu lakini hatuuoni na wala hatujui utatua lini kwa watu.
 
Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake

Ndio umeandika mashudu gani haya?? Shaaaa ndio nini
 
Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake
Wanafalsafa wanasisitiza reasoning kabla ya kufanya jambo lolote maisha hapo utabaini Neg-&Pos + ya hicho utakachofanya inaweza kuwa madhara hayako karibu lakini unakuwa na nafasi ya kujipanga na changamoto.Lakini yote kheri maana maamuzi yako ndio kesho yako na majuto no mjukuu.
 
Mtu kaua ndugu zake zaidi ya 15, leo anaona sababu ya kumpenda?
Waliopo madarakani wameua ndugu zake wangapi kuifunika chuki ya kuuliwa ndugu 15??????
Bila mafuta, waarabu wangekuwa na maisha magumu sana sababu kichwani ni shida. Anatamani ajenge upya sanamu na kuliabudu ili apate amani!
 
Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake
leo umenena duuh
 
Katika jamii 4 ambazo kwa pamoja ndizo zinaunda Dunia
1 Caucasian race
2 Mongolians (Chinese&Japanese& Koreans)
3 Semitic { Arabs&Indians&Jews}
4 Blacks
Katika jamii zote kuna jamii mbili ambzo zinafanana kuanzia kitabia na kimatendo na hii inatokana na ukaribu wa kijografia au kimuingiliano wa kitamaduni jamii hizo ni Arabs & African Blacks nimeweka African kwa sababu Black ni race si eneo au rangi na wapo blacks ambao hata Africa hawapajui pia ndani ya Africa wapo wazungu ambao wanajiita ni waafrica na wanapassport za nchi za Africa mfano makaburu na pia wapo watu ambao ukiwaangalia kwa macho si blacks lakini wanaitwa blacks kwa vile mzazi mmoja ni black . Sasa Arabs na African blacks ni jamii ambazo zinafanana na ndizo jamiii ambazo zimekosa Democrasia ya kweli japo kuna chaguzi lakini hakuna Democrasia. Democrasia si uchaguzi tu uchaguzi ni kama slice kwenye keki ya Democrasia

Kitendo cha kukosekana Democrasia ya ukweli kinafanya wananchi wanakuwa na visasi mioyoni mwao na hasira zinapozidi na hakuna pa kupunguzia hasira hizo zinasababisha chuki na chuki inazaa uhasama kati ya viongozi na wananchi sasa kunapotokea nafasi au kitundu cha kutolea hasira zao huwa zinatoka kwa nguvu na kasi ambayo inachukua muda mrefu kupungua ndio maana unaona zile nchi za kiarabu zilizoanza mapigano mpaka leo hakuna amani pia ukiangalia nchi za Africa zilizo pigana wenyewe kwa wenyewe hakuna amani ya kweli bali kuna utulivu tu na bahati mbaya kuliko zote jamii hizi haziwezi kujenga kwa maana zimekuwa design kutegemea jamii zingine katika kutatua matatizo yao
Nimefurahi kujifunza kuhusu hizo jamii nne
 
Saddam hakuwa dikteta alitaka kuwaunganisha waarabu wote wawe kitu kimoja ndiyo mwamerika akamuwahi yeye na ghaddaf ameuwawa kwa sababu alitaka kuwaunganisha mataifa yote ya afrika na kupendekeza itoke sarafu ya afrika na kipindi kile alipendekeza kuwe na rais wa afrika nayeye alimpendekeza mandela ndiyo hayo yakatokea
Aliua washia wengi mno
 
Bado nina kitu kuwa sikufurahia mauaji ya Saddam na Ghadafi, hata tangu waanze kusumbuliwa sikufurahi. Kwa sababu nilijua wananchi wataishi vibaya zaidi. Na ndivyo ilivyo, na inasikitisha. Wazungu hawataacha kuwa wachochezi na waongo kwa kupata wao faida ya wanachotaka. Ila wengine wa Iraq maisha yanaendelea hivyo hivyo na kupenda ya sasa...ni ngumu shaaaaa kila mtu na lwake
Katika siku zote hii coment ya leo imenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom