Mkuu hawa jamaa wako very corrupt kitendo cha kuwahusisha tu wangeharibu matokeo ya tume nzima na hata wajumbe wa hii tume wasingekuwa salama.wewe unafkiri ni kwanini wajumbe walipewa ulinzi mkali?lakini pamoja na hayo yote bado walijaribu kupenyeza waliloweza.na kwa taarifa yako haya matokeo waliyajua fika hata kabla tume haijaanza kazi.yani wewe unaenda kumfumania mke wako alafu unaomba ndugu zake wakusindikize??si utakuwa mpuuuzi!!Nadhani ilikuwa kosa kutowaita hawa jamaa especially wakati wanafanya sampling na upimaji wa concentrates. Pale wangekubaliana methods ipi ni accurate zaidi na recognized internationally. Usikute kamati ilitumia methods za mwaka 47...
Niniii?Kivipi? hatuwezi lipa sisi tuna Magufuri wetu
ACACIA wanadanganywa na watoto wa vigogo wanaomiliki share za mgodi lakini nakuhakikishia kwenye hii scandal " hawachomoki"
Haya masuala tukisema tunaonekana siyo wazalendo.Hili ndilo tatizo la maamuzi ya kisiasa. Tatizo la usafirishaji nje mchanga wa madini lilikuwepo toka zamani na lipo kisheria. Wanaoshafirisha hawasafirishi kwa njia za magendo, wanafuata utaratibu. kwa vile hali hii ilikuwepo kitambo wangefanya utaratibu wa kisheria kuusitisha.
Sasa tushuhudie Dowans nyingine hapa itakayozoa matrilioni ya fedha ya tanzania kulipa fidia. Watawala wetu wameshindwa kujifunza toka IPTL, DOWANS, SAMAKI WA MAGUFULI na nyingine nyingi.
Tume haijadanganya. Hata taarifa ya ACCACIA inakubali uwepo wa madini mengine. Isipokuwa wameanzisha misamiati 2.Tuwe wakweli kidogo
Tume itakuwa imemdanganya Rais juu ya kiwango cha dhahabu, copper na iron iliyo ndani ya hayo makontena
Sultan Mangungu mpo wengi hadi leo 2017."Magufuri" wenu hayuko juu ya Sheria na hapaswi kwenda kinyume na Mkataba unless uwe umefanyiwa marekebisho kwanza.
mkuu, mimi mwenyewe nimetuma post zisizopungua 5 kuwa-caution watu wasikurupuke ku-join bandwagon ya tume teule bila kufanya tafakuri ya mapana na marefu.nilitoa angalizo...kazi imeanza...dowans style
Haps nilipo bold nimahala kea kuangaliwa kwa umakini sana...Nadhani ilikuwa kosa kutowaita hawa jamaa especially wakati wanafanya sampling na upimaji wa concentrates. Pale wangekubaliana methods ipi ni accurate zaidi na recognized internationally. Usikute kamati ilitumia methods za mwaka 47...
Umeonaeeee. watu wanaamini kuunga mkono kila kinachofanywa na dola ndio uzalendo.Haya masuala tukisema tunaonekana siyo wazalendo.
Kazi ipo .mkuu, mimi mwenyewe nimetuma post zisizopungua 5 kuwa-caution watu wasikurupuke ku-join bandwagon ya tume teule bila kufanya tafakuri ya mapana na marefu.
Acacia are not that stupid or not naive "to that extent"....
masikitiko yangu ni maumivu tutakayopata walipa kodi kutokana na claim ya Acacia dhidi ya serekali ambayo itakuwa in trillions.
Kuna mkataba tulioingia nao unaosema wa-declare 10% tu ya kilichomo?"Magufuri" wenu hayuko juu ya Sheria na hapaswi kwenda kinyume na Mkataba unless uwe umefanyiwa marekebisho kwanza.