Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
huu upumbavu waupeleke huko huko kwao,yani bado wana ujasiri wa kuandika huu upuuzi!! eti ''we believe"....hawa hatuwaamini tena,ningekuwa mimi ndio Raisi ningewafukuza kabisa nchini kwa kuhujumu uchumi.hiii vita kwa sasa tutapigana wanatanzia wote na wasifikiri tutamuachia Raisi wetu mwenyewe.binafsi sikutegemea kama watakubaliana na riport hii maana imewaacha UCHI,tunaisubiria hiyo kamati inayohusika na mambo ya sheria itupe muongozo then tuwagonge nyundo hapo ndio watajua Watanzania tumeamka.