Maana ya outsourcing ni kutoka nje ya kampuni yao na tenda wamepata g4s.
Tuliwapa watuibie?Mie nipo upande wa accacia ? Why mliwapa wenyewe sasa mnalia lia vita hii lazima fisi watoke madarakani
wenyewe hawakuona kama hiyo mikataba ni ya dhulma!?..kwao mikataba ya hivyo ipo?!Tatizo ni mikataba na waliowagawia raslimali bure. Mliwakubalia kila takwa lao!! Mchawi yuko ndani ya nyumba
Outsourcing of none core function is the global best practice for cost cutting. But for unscrupulous employees can be used as the room for importation of employees unnecessarily, tax evasion, room for underpaying,
Kwa acacia sielewi kama watu wamekuwa wakikufanyia kazi miaka yote leo mnakaribia kufunga baadhi ya biashara zenu ndio mnakumbuka hilo....
Ndio maana tunasema serikali yetu iwe makini Kila jambo iliangalie kwa jicho la 360°
Wazungu ni wajanja sana...
Askari wa migodini ni kama auxiliary polices hawana effects yoyote mtaani kwa maana ya usalama. Wale ni wapole kuliko hata police jamii...Sijakataa outsourcing ya namna yeyote, lakini pale mbwembwe zikiwa ni kutafuta njia zingine za kuleta vurugu halafu waje kusema "kwa sababu ya kukosa $1 million moja" kwa siku ndio sababu tumepunguza kazi(hakuna kosa hapo) "Askari" inaleta nadharia tofauti.
Upo uwezekano kuwa hawa walinzi wana ujuzi wa kushika na kutumia silaha, wakiondoka huko itakuaje(bila mishahara n.k) maslani kati ya hao 400 wanaoenda kuwaachisha kazi hao askari watakuwa kama 80-100 itakuwaje?
Yale madini wanayochimba ni mali yao kwa mujibu wa mikataba na wanayo haki ya kuyalinda na kuwalinda watu wao. Mnaweza kuona ni kitu kigeni sana lkn makampuni yanayomilikiwa na ACACIA miaka yote yana utamaduni wa kulindwa na wazungu
Kama kweli ni uthubutu avunje mikataba yote mibovu ya madini na viongoz waliousika na mikataba hii washitakiwe wote hata wale wabunge waliopitisha upuuzi kwa ndioo tupa kule .jela madini yetu sisi %4 mabaya sana kwa mfano HIZO BILION MIA NANE ZA MAKINIKIA ZETU NI BILION AROBAINI INAUMA SANA NDOO MAANA MBUNGE KESSY ANAPENDEKZA WAHUSIKA WOTE WANYONGWEKuna taarifa manager wao ameshakimbia nchi.
Safari hii wataelewa Mh. Magufuli alipokuwa anatuambia hatatuangusha alikuwa anamaanisha nini.
Sasa hivi kashikilia rungu atawashikisha adabu mafisadi wote.
Go Magufuli.
Askari wa migodini ni kama auxiliary polices hawana effects yoyote mtaani kwa maana ya usalama. Wale ni wapole kuliko hata police jamii...
Kule kwa sheria zao hairuhusiwi hata kumpiga kirungu mwizi. Wnafundishwa sheria za kimataifa za usalama...
Ni Sawa na kusema kk security guard wakifukuzwa hakuta kuwa na Amani mtaani...
Kikubwa ni sababu ya kuwafukuza ndio inaukakasi.