Kuna njia tatu za kumaliza mkataba ....(I) kutekeleza mkataba/performanceMie nipo upande wa accacia ? Why mliwapa wenyewe sasa mnalia lia vita hii lazima fisi watoke madarakani
Tungoje tuone mwisho wa haya ni nini
Outsourcing of none core function is the global best practice for cost cutting. But for unscrupulous employees can be used as the room for importation of employees unnecessarily, tax evasion, room for underpaying,Huwa kuna mapungufu katika makubaliano yeyote yale na mara nyingi haya huwa yanaonekana baadae.
"Sababu za maana" ikiwa moja wapo ya hayo mapungufu ina madhara yake.
Madhara hayo ni pamoja na kuona, kama hawa wataruhusiwa kuleta ulinzi wao.
Wewe hujui kingereza.Yaani wanatoa security staff wao wote halafu wanaajiri kampuni za ulinzi ndio zifanye hiyo kazi.Acha uongo na g4s ndio wamepata hiyo tenda
CCM is in GovernmentCcm is busy engineering rubbish with their fellow fools instead of doing their duty
Jamaa yangu manager hata kama.kuna ubadhirifu hawezi kimbia maana yeye nimwajiriwa kama sisi wengine tulivyo japo kila mmoja ana sehemu yake ya kuripotiKuna taarifa manager wao ameshakimbia nchi.
Safari hii wataelewa Mh. Magufuli alipokuwa anatuambia hatatuangusha alikuwa anamaanisha nini.
Sasa hivi kashikilia rungu atawashikisha adabu mafisadi wote.
Go Magufuli.
INAONEKANA ASKARI WA TANZANIA WANAHUSIKA NA UGUNDUZI WA MCHANGA WENYE DILI NINI???!!!
Maana ya outsourcing ni kutoka nje ya kampuni yao na tenda wamepata g4s.[/QUOTE]Manyways "outsourcing" ndio lugha waliotumia.
Yale madini wanayochimba ni mali yao kwa mujibu wa mikataba na wanayo haki ya kuyalinda na kuwalinda watu wao. Mnaweza kuona ni kitu kigeni sana lkn makampuni yanayomilikiwa na ACACIA miaka yote yana utamaduni wa kulindwa na wazunguKatika kile ambacho kinazungumziwa na "Wanasheria" sasa wazungu kuletwa Kulinda mali na wafanyakazi(wazungu) wa Accacia
Kwa udadisi mfupi niliyofanya baada ya Accacia kutoa matamshi haya, "We have decided to outsource our security staff, because we believe that by doing so our people and assets will be protected in the best possible way" hayo yalisemwa na Meneja wa mawasiliano ya umma Nectar Foya wa Accacia.
Maoni yangu ni kuwa Vita hii bado itaendelea. Walakini, Kuna umuhimu wa bunge au vyombo vikuu vya serikali kuingilia haya tusije tukawa kama Ivory coast, au Angola.
Vivyohivyo, "Haingii akilini" kuwa hata ndani ya mikataba hiyo kunaruhusu kuleta Askari kutoka nje ili kuwalinda "wazungu" na mali "zetu" What a shame!
"Haiingii akilini" kuona jinsi hawa watu wachache( Uongozi wa Accaia Tanzania) wanavyoweza kuvunja heshima ya majeshi ya ulinzi wa Tanzania.
Kuna ulazima wa kuungana katika vita hii #TZ-Nomercenariesforourgold
Wewe ni jangaMie nipo upande wa accacia ? Why mliwapa wenyewe sasa mnalia lia vita hii lazima fisi watoke madarakani