90.4% ya Watanzania wamkubali Rais Magufuli-Hapa kazi tu!

Huo utafiti utakuwa ulifanyika lumumba maana hali iliyoko mtaani haiendani na utafiti huo...
 
Hayo Mahazeti nimeyasoma Wanauza tu Hakuna details hata moja waliyoaiandika

Hata hivyo Ni mjinga tuu anayeweza kuamini upuuzi wa siku mia !

Namtakia kila LA kheri nikisubiria jinsi watu watakavyoshinda kesi za zinaOfunguliwa bila kujali wakati mwingine serikali ilishindwa au kuchelewesha fadha za miradi !!

Hapa mbwembwe tuu !!
 
Mimi sina tafiti zozote zile, nilichokifanya ni kuleta Habari iliyoandikwa na Gazeti la citizen hivyo kama ulitaka kujua njia na jinsi walivyokuja na hizo namba ulipaswa uwasiliane nao na siyo kuniuliza mimi, mimi sina jibu la maswali yako!
Kasuku
 
Lazima tupime validity na reliability ya utafiti huo... Sasa mtoa mada badala ya kukimbilia kupiga picha ukurasa wa mbele wa gazeti, ingetakiwa utuoneshe part ya habari ambayo japo inatupa link tu download Report tuisome kuanzia proposal, design mpaka conclusion...
Hii tabia ya kuleta post kishabiki sioni ikileta impact yoyote ya maana kwenye discussion zetu humu JF
 
Lakini ukumbuke serikali haitingishi mti na kuokota hela barabarani.
Lazima matundo yote yaliotoboka yazibwe kwanza, hela ikusanywe na itachukua mda mrefu. Hiyo si kazi ya mwezi au mwaka. Hapo ndipo masuali yako yatakapo faa.
Kwani pale alipofanya kampeni akatoa ahadi kwa makontena alikuwa hajui kama kuna matundu ya kuziba na itachukua mda mrefu?
Mnashangiria shangwe la kusindikiza maiti.
 
Lazima tupime validity na reliability ya utafiti huo... Sasa mtoa mada badala ya kukimbilia kupiga picha ukurasa wa mbele wa gazeti, ingetakiwa utuoneshe part ya habari ambayo japo inatupa link tu download Report tuisome kuanzia proposal, design mpaka conclusion...
Hii tabia ya kuleta post kishabiki sioni ikileta impact yoyote ya maana kwenye discussion zetu humu JF

Hiyo kazi unaweza kuifanya wewe pia!
 
Utafiti waliulizwa watu 1200 Kati ya watanzania million. 45
Utakumbuka kwenye katiba mpya Kikwete alisema maoni ya watu 23000 hayawakilishi maoni ya watanzania wote
Pia ukidodosa kwenye ofisi za ccm unategemea matokeo gani?
 
Hahaaaahh!!! Mtabisha saaana ila hapo Kaz tyu!!!
Tangia kapata uchaguz had ssa n miez mingapi!? Na vitu vingap vizur kafanya!! Hata mchaw mpe sifa yake!!
 
Wanafikiri watu wanaipenda CCM. No option lazima akubalike maana hakuna wa kushindananaye kwa sasa ila safari ni ndefu sana. Kikwete alichaguliwa na 80% first term sasa sioni shida ila naiona CCM ikiporomoka kiuchumi na magufuli haelewi mambo ya Chama. Kumbuka kwenye uchaguzi wananchi hawaangalii umefanya nini bali una nini kipindi cha uchaguzi.
Sasa kwa sababu anakubalika arudishe mikataba ya madini, gesi... Na katiba ya Warioba bungeni tuendelee kumuunga mkono Mr President
 
Utafiti waliulizwa watu 1200 Kati ya watanzania million. 45
Utakumbuka kwenye katiba mpya Kikwete alisema maoni ya watu 23000 hayawakilishi maoni ya watanzania wote
Pia ukidodosa kwenye ofisi za ccm unategemea matokeo gani?

Kwani wewe ulifikiri tafiti huwa zinafanywaje hapa Duniani? Ukisikia labda asilimia 15 ya WatanZania wanaishi na virusi vya UKIMWI ulifikiri wanatupima Watanzania wote 100%? Wewe ulishawahi kupimwa? Lkn mbona hizo namba zinakubalika?

Au ukisikia labda asilimia 30 ya Wamarekani wanamkubali Trump awe Raisi wao unafikiri Wamarekani wote milioni 300 wanaulizwa?

Haya mambo ya takwimu ni somo linajitegemea Statistics and Data analysis na siyo lazima uulize kila mtu ili uweze kujua uelekeo fulani, sampuli fulani ndogo tu inatosha kutoa picha halisi ingawaje kunakuwa na makosa ya +/- lkn siyo mbali sana na ukweli!

Rejea tafiti za twaweza zilipingwa na kupigiwa kelele hapa lkn matokeo ya Uraisi hayakwenda mbali sana!
 
Natumia logic yenu mlipokataa rasimu ya Warioba, JK alisema maoni ya watu 23000 hayawakilishi watanzania wote
Na mkashangilia Sana bungeni
Sasa mkuki kwa nguruwe
Hata hivyo kwa kujipendekeza huenda wali wadodosa viwavi watupu
 
Wewe ni wale 0.6% kama tafiti zilivyobainisha!

Utatuzi wa matatizo ni mchakato endelevu na hakuna kiongozi atakayemaliza matatizo yote katika nchi yoyote duniani.
Ni kweli kabisa mkuu. Nchi zote zilizoendelea bado wanachangamoto ya ajira kwa raia zao, hasa vijana pamoja na kuwa na viwanda vingi!
 
Wewe ni wale 0.6% kama tafiti zilivyobainisha!

Utatuzi wa matatizo ni mchakato endelevu na hakuna kiongozi atakayemaliza matatizo yote katika nchi yoyote duniani.
Ni 9.6% mkuu, ungemchagua Lowassa ungesoma had chuo kikuu bure walau hesab zicngekutesa hiv
 
Najua kuna watu watakufa mwaka huu kwa vijiba vya wivu na roho mbaya wakiona hii habari, ndiyo hivyo, asilimia zaidi ya 90 (90%) sisi WatanZania tunakubali utendaji kazi wa Raisi Magufuli kulingana na utafiti uliofanya kama inavyosomeka kwenye Gazeti hapo chini!

Hii imedhihirisha ile imani niliyokuwa nao siku zote kwamba wanaompinga Raisi Magufuli hawaishi TanZania, ni kundi la Watz wachache waishio nje ya TanZania ambao wanamuangalia Raisi Magufuli kwa jicho la Raisi wa Marekani au Ulaya, kwa wao maadamu haongei kama Obama basi anakosea, lkn sisi ndiyo muhimu na sehemu kubwa yetu tunamkubali kama alivyo na ni kwa asilimia 90.4% yetu , dadadaaaki!

Ni mwendo mdundo mpaka 2020, kuna watu watakufa mwaka huu kwa chuki!

DSCN0201.jpg

HAPA KAZI TU!
Utafiti huu mmeufanyia wapi?acheni propaganda tunahitaji mabadiliko ya kimfumo na so porojo
 
Kwani pale alipofanya kampeni akatoa ahadi kwa makontena alikuwa hajui kama kuna matundu ya kuziba na itachukua mda mrefu?
Mnashangiria shangwe la kusindikiza maiti.
Kwani yeye alitoa ahadi kwamba atafanya hiyo kazi kwa siku mmoja ua mwezi au mwaka ?? Fikiria kwanza unacho ongea...Na hayo matundu alikua anayajua na akatoa ahadi ya kuyaziba naanajitahidi kuyaziba lakini watu kama nyie ndio wanao angusha nchi, mmezoa kula dezo. sasa amesha anza kunizibia na kuyatubua majipu.
 
Back
Top Bottom