Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,513
Nilikukataza kutukana wenzio wewe m@m@pole mama hii kasi ya ajabu sana hakuna anayeweza kuizuia pole sana magufuli chapa kazi achana na mazezeta haya ya ukawa na bawacha kama huyu mama.
Nilikukataza kutukana wenzio wewe m@m@pole mama hii kasi ya ajabu sana hakuna anayeweza kuizuia pole sana magufuli chapa kazi achana na mazezeta haya ya ukawa na bawacha kama huyu mama.
sadam huseni alikuwa anakubalika kwa 99%Kwikwikwikwiiiii! Safi sana
Utafiti wenu ni kiboko ! masaa matatu yanawezaje kukamilisha utafiti nchi nzima , tena kwenye nchi ambayo mvua ya nusu saa inavunja madaraja ?Najua kuna watu watakufa mwaka huu kwa vijiba vya wivu na roho mbaya wakiona hii habari, ndiyo hivyo, asilimia zaidi ya 90 (90%) sisi WatanZania tunakubali utendaji kazi wa Raisi Magufuli kulingana na utafiti uliofanya kama inavyosomeka kwenye Gazeti hapo chini!
Hii imedhihirisha ile imani niliyokuwa nao siku zote kwamba wanaompinga Raisi Magufuli hawaishi TanZania, ni kundi la Watz wachache waishio nje ya TanZania ambao wanamuangalia Raisi Magufuli kwa jicho la Raisi wa Marekani au Ulaya, kwa wao maadamu haongei kama Obama basi anakosea, lkn sisi ndiyo muhimu na sehemu kubwa yetu tunamkubali kama alivyo na ni kwa asilimia 90.4% yetu , dadadaaaki!
Ni mwendo mdundo mpaka 2020, kuna watu watakufa mwaka huu kwa chuki!
HAPA KAZI TU!
Utafiti wenu ni kiboko ! masaa matatu yanawezaje kukamilisha utafiti nchi nzima , tena kwenye nchi ambayo mvua ya nusu saa inavunja madaraja ?
cha kushangaza ni kwamba % nyingi amepata kinondoni mkwajuni , pale kwenye bonde la msimbazi !Dikteta lazima akubalike kwa 99%
Mtatunga sana huo ushambenga wenuNajua kuna watu watakufa mwaka huu kwa vijiba vya wivu na roho mbaya wakiona hii habari, ndiyo hivyo, asilimia zaidi ya 90 (90%) sisi WatanZania tunakubali utendaji kazi wa Raisi Magufuli kulingana na utafiti uliofanya kama inavyosomeka kwenye Gazeti hapo chini!
Hii imedhihirisha ile imani niliyokuwa nao siku zote kwamba wanaompinga Raisi Magufuli hawaishi TanZania, ni kundi la Watz wachache waishio nje ya TanZania ambao wanamuangalia Raisi Magufuli kwa jicho la Raisi wa Marekani au Ulaya, kwa wao maadamu haongei kama Obama basi anakosea, lkn sisi ndiyo muhimu na sehemu kubwa yetu tunamkubali kama alivyo na ni kwa asilimia 90.4% yetu , dadadaaaki!
Ni mwendo mdundo mpaka 2020, kuna watu watakufa mwaka huu kwa chuki!
HAPA KAZI TU!
Kazi bila mpango?hata umbea ni kazi tuNajua kuna watu watakufa mwaka huu kwa vijiba vya wivu na roho mbaya wakiona hii habari, ndiyo hivyo, asilimia zaidi ya 90 (90%) sisi WatanZania tunakubali utendaji kazi wa Raisi Magufuli kulingana na utafiti uliofanya kama inavyosomeka kwenye Gazeti hapo chini!
Hii imedhihirisha ile imani niliyokuwa nao siku zote kwamba wanaompinga Raisi Magufuli hawaishi TanZania, ni kundi la Watz wachache waishio nje ya TanZania ambao wanamuangalia Raisi Magufuli kwa jicho la Raisi wa Marekani au Ulaya, kwa wao maadamu haongei kama Obama basi anakosea, lkn sisi ndiyo muhimu na sehemu kubwa yetu tunamkubali kama alivyo na ni kwa asilimia 90.4% yetu , dadadaaaki!
Ni mwendo mdundo mpaka 2020, kuna watu watakufa mwaka huu kwa chuki!
HAPA KAZI TU!
Wakati miundo mbinu iliyogharimu mabilioni ya sh ikifa kabla ya muda wake hapa kazi tuWakati hospital in I hakuna Dawa hapa kazi tu,
Wakati hakuna vitanda hapa kazi tu,
Wakati walimu wanadai nauli tangu 2013-2015 hapa kazi tu,
Wakati hakuna nyumba za walimu hapa kazi tu,
Wakati biashara inayumba hapa kazi tu,
Wakati sheria mbovu za madini na gesi zikiinyonya serikali hapa kazi tu
Umeme usiowa uhakika, hapa kazi tu
Wacha amsafishie lowasa njia ifikapo 2020cha kushangaza ni kwamba % nyingi amepata kinondoni mkwajuni , pale kwenye bonde la msimbazi !
Basi sawa mjomba , lakini nina kijiswali kidogo cha uzushi , hivi wewe na hiyo akili yako ndogo uliyopewa na Mungu unaamini utafiti wa namna hii kiasi cha kuweka na hicho Ki - Mytake chako uchwara ? usinakili kila kitu mjomba , utakuja kudhalilika .Mimi sina tafiti zozote zile, nilichokifanya ni kuleta Habari iliyoandikwa na Gazeti la citizen hivyo kama ulitaka kujua njia na jinsi walivyokuja na hizo namba ulipaswa uwasiliane nao na siyo kuniuliza mimi, mimi sina jibu la maswali yako!
Mtafiti na msomi kwa mujibu wa ccm ni yule Banasifa zenu zitamharibu huyu mzee wa watu jamani acheni. Mbona sijawahi hata kumwona huyo mtafiti?? JPM sidhani ka ni mtu wa kusikiliza story za vijiweni, Labda yule Mzee wa Msoga
Umeonaeeeeee? Ukiweka na ombi la kikwete kuwaombea kazi kwa magu wale wanaoshinda mitandaoni, ndio hatareeeeKatika udikteta watu na taasisi wanashindana kumsifia dikteta, hiyo ni kwa usalama wao.
Na familia zao na wanaowategemea? Yaani wafanyakazi na wale ndorobo. Hiyo asilimia 90 imejumlisha na watoto? Mtu hawezi kuleta muhogo hapa akaniambia hicho ni kiazi kitamu na mimi niitikie ndiyo. You may judge me but I will stand by convictions. Bring a logical explanation na sio an emotional one na niko tayari kubadilisha msimamo. By the way usisahau majority ya CCM (current na wale ex) ambao serikali iliyopita iliwapa green light ya kufanya madhambi yote.Hii sindano najua imegusa mfupa, kafanyeni na nyie zile mnaita tafiti za ndani.
Hao uliotaja hata asilimia 2 hawafiki!
Adhalilike mara ngapi mkuu?huyo tusha mshusha grade kwa kuwa benderaBasi sawa mjomba , lakini nina kijiswali kidogo cha uzushi , hivi wewe na hiyo akili yako ndogo uliyopewa na Mungu unaamini utafiti wa namna kiasi cha kuweka na hicho Ki - Mytake chako uchwara ? usinakili kila kitu mjomba , utakuja kudhalilika .