2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

Tunampoteza mlipa Kodi mmoja..
kwavipi mkuu?
kahawa haina kodi?
chai haina kodi?
maziwa hayana kodi?
hap hauoni kama kuna kodi zaidi maana maeneo yameongezeka kutoka moja (pombe) hadi matatu (kahawa chai & maziwa)?
tukusaidie miwani kuona faida kubwa hii itayopatikana sasa?
 
Kila la kheri Ila jikaze maana ukizubaa hutoboi..

Pombe ndio mlipa Kodi namba moja hapa Tz

Halafu kulikua na haja gani kutamka maneno ya kunisaidia MIWANI?!

Nikutakie mafanikio mema pia usiache kutupa testimony za maendeleo yako 😊
 
Nilikutana nao maeneo ya Goba nikawaonesha hilo chupi😂
Ikawaje ukashindwa kunyoosha maelezo😅
Screenshot_20250101-135517_Instagram Lite.jpg
 
Huyo mlevi mmoja tupo nae pa1 , mie unakimbia miez mi4 asivii na hivi vishawish vya sikukuu najiisi kama nimewini ivii...
 
Back
Top Bottom