young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakili wa shetani

    Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

    Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
  2. Greatest Of All Time

    FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

    Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa Tanzania, Young Africans SC. Ikumbukwe AS Real Bamako, bado inatafuta ushindi wake wa kwanza, mara baada...
  3. Mchochezi

    FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  4. NetMaster

    𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘: Mapinduzi cup: Yanga 1-0 KMKM SC

    Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao. Sio timu tu kutoka Zanzibar, Ni KMKM, mabingwa wa ligi ya Zanzibar tuliowashinda tena kwa kikosi cha pili, hii ndio maana...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison 88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona 80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira Azizi Ki...
  6. M

    Natamani kuionya Young Africans makundi ya CAFCC

    Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi chao bora watakapotoa takwimu za mwisho na tukaona upande wa njano na kijani una on target 3 basi...
  7. aloma_matei7

    Naomba tumjadili Aziz Ki

    Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
  8. Dong Jin

    Young Africans (Yanga) SC to the world

    Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla.... Kongore wananchi..... 💪💪💪
  9. Doctor Stranger

    Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo. Yanga first eleven Diarra Job Bangala Farid kibwana Sureboy Aucho Saido Moloko Ambundo Mayele...
  10. Daktari wa Manchester

    Happy independence Day to young Africans fans

    Habari za asubuhi Natumaini wote tutakuwa wazima wa afya kabisa kama Kuna mtu anaumwa na mtakia quick recovery katika tatizo Nawatakia happy independence Day 🇹🇿 kwa mana yanga wote tukutane tarehe 11
  11. demigod

    Cha Kujifunza Mwananchi Kutoka Port Harcoat - Rivers United 1 - 0 Young Africans SC

    1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF. 2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika mbali kwenye michuano ya CAF. 3. Pilika za usajili zilifanya tupoteze focus kwenye kuhakikisha ushiriki...
  12. Mozu1991

    Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

    Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani? ======= Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona. Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga 28' Rivers...
  13. Wang Shu

    Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

    Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar...
  14. LIKUD

    Karibu Young Africans Haji Sunday

    Simba watasema hili dongo kwa Mwamedi
  15. Synod

    Ali Mayai amvaa Manara, amtaka kuacha 'ujanjaujanja' na kutafuta huruma kwa mashabiki

    Nahodha na Kiungo wa Zamani wa Young Africans Ali Mayai ameingilia kati sakata la aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara dhidi ya Mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’ na Afisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez. Mayai ambaye ni Mwajiriwa wa Serikali na pia Mchambuzi wa Soka la Bongo amewasilisha andiko...
Back
Top Bottom