yapiga marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo. Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule wa Marekani Donald Trump. Source: X Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu Soma pia👇...
  2. Tajikistan yapiga marufuku Uvaaji wa Hijab. Imenishangaza

    Asilimia 97 ya wakazi wa nchi hii ni Musilimu. Lakini bado wamepiga marufuku uvaaji wa Hijab. Why? Waachwe wanawake wavae Hijab jamani. Hawa ni viumbe vya kutuburudisha.
  3. Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

    Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel. Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
  4. Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni

    Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni Reference Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni - The Chanzo
  5. BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  6. India yapiga marufuku Dawa 156 za FDC, zadaiwa kuhatarisha maisha

    India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo Miongoni mwa dawa hizo ni...
  7. Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

    The Majlisi Milli (Tajikistan’s upper chamber of parliament) has seconded the law banning “alien garments” and children's celebrations for two major Islamic holidays -- Eid al-Fitr (Idi Ramazon) and Eid Al-Adha (Idi Qurbon), known as idgardak (children visit houses of their street or village and...
  8. I

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  9. Sudan Kusini yapiga marufuku Pombe (Kiroba) maarufu kinachodaiwa kusababisha Vifo

    Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin. The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people. Its consumption reportedly increased during...
  10. Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  11. Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  12. Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  13. Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  14. Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  15. Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
  16. Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  17. Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  18. Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  19. Benki Kuu: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

    Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…