yapiga marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Zanzibar yapiga marufuku upigaji wa makachu Forodhani hadi serikali itakapoandaa utaratibu maalum wa shughuli hiyo

    Wakuu, Ila tuko na viongozi wapumbavu, mlishindwa kuwatoza fine kulingana na makosa waliyofanya, kutupa taka, sijui mavazi si tayari mna utaratibu kwenye mambo hayo? Mmeona vijana wanafaidi sana mpaka muende kuingiza mkono wenu mambo yaharibike. Vijana wamefanya kazi nzuri kuvutia watu hapo...
  2. PureView zeiss

    Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
  3. Mtoa Taarifa

    Australia yaidhinisha marufuku ya Watoto chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii

    Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai Mitandao imekuwa ikiathiri Afya za Kimwili na Akili kwa Watoto. Uamuzi wa Serikali umeitaka...
  4. imhotep

    Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo. Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule wa Marekani Donald Trump. Source: X Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu Soma pia👇 Video: Kuna...
  5. Komeo Lachuma

    Tajikistan yapiga marufuku Uvaaji wa Hijab. Imenishangaza

    Asilimia 97 ya wakazi wa nchi hii ni Musilimu. Lakini bado wamepiga marufuku uvaaji wa Hijab. Why? Waachwe wanawake wavae Hijab jamani. Hawa ni viumbe vya kutuburudisha.
  6. HIMARS

    Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

    Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel. Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
  7. Mr Why

    Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni

    Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni Reference Benki Kuu ya Tanzania Yapiga Marufuku Wakopeshaji Mitandaoni Kutuma Jumbe Za Madai Kwa Wasiohusika, Kudhalilisha Wadaiwa Mitandaoni - The Chanzo
  8. Mindyou

    BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  9. Lady Whistledown

    India yapiga marufuku Dawa 156 za FDC, zadaiwa kuhatarisha maisha

    India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo Miongoni mwa dawa hizo ni...
  10. Lupweko

    Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

    The Majlisi Milli (Tajikistan’s upper chamber of parliament) has seconded the law banning “alien garments” and children's celebrations for two major Islamic holidays -- Eid al-Fitr (Idi Ramazon) and Eid Al-Adha (Idi Qurbon), known as idgardak (children visit houses of their street or village and...
  11. I

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  12. BARD AI

    Sudan Kusini yapiga marufuku Pombe (Kiroba) maarufu kinachodaiwa kusababisha Vifo

    Authorities in South Sudan's Central Equatoria state have banned the sale of a popular beer after several people died after consuming the local gin. The Royal Gin, popularly known as "Makuei Gin" is said to be addictive, mostly to young people. Its consumption reportedly increased during...
  13. Ritz

    Malaysia yapiga marufuku Meli za Israel kutia nanga kwenye Bandari yake.

    Wanaukumbi. Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza. Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
  14. BARD AI

    Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  15. crankshaft

    Kazakhstan, nchi yenye waislam wengi yapiga marufuku hijab mashuleni

    Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo na dini. Shule ni mahali pa kusoma na sio ku practice mambo ya dini. Tuache watoto wasome...
  16. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  17. JanguKamaJangu

    Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  18. Exile

    Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
  19. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
Back
Top Bottom