Waziri wa Ulinzi mpya wa Marekani, Pete Hegseth aliyeteuliwa na Trump na kupitishwa na maseneta walio wengi wa upande mmoja tu wa Republicans ni mlevi wa kutupwa wa pombe. Huyu bwana aliyekuwa mtangazaji wa Fox News inasemwa huwa anaweza kupiga tungi kuanzia asubuhi hata anapokuwa kazini. Watu...
Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi?
https://www.youtube.com/watch?v=0g7af_f469Y
Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
Kama kawaida ya Russia inapofika msimu wa baridi hua anataka maadui zake wagande kwenye barafu..Usiku wa leo Bomber zote mauaji za Russia zilikua airborne zimekichafua mbaya robo ya tatu ya Ukraine ipo gizani
Urusi imefanya shambulizi kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine tangu uvamizi wake wa...
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
#HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya.
Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO.
Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia.
Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
"Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba
"Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu...
Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini.
Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=6yQwHaO3rEA
MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA...
Tuliomaliza shule wakati magroup ya whatsapp hayajaanza tulibadilishana mawasiliano tu..baadae teknolojia ikatukutanisha kwa sura zetu pichani na wengine hawaweki nyuso zao isipokuwa avatar au picha za wanawe nakadhalika. Kazi inakuwa na maswali pale lnapokuwa hamuonani na mnaanzisha group la...
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.
Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.