wivu wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamume kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mkazi wa Mtaa wa Maselele, Kata ya Cheyo B Manispaa ya Tabora, Juliana Mbogo (40) kisha mwili wake kuuficha uvunguni mwa kitanda, chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao...
  2. M

    Wivu wa mapenzi: Akatwa viganja na kujeruhiwa

    Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea Julai 24, 2024 ambapo inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na...
  3. The Sunk Cost Fallacy 2

    Mbozi: Mke amuua Mume Wake akishirikiana na Mchepuko

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa...
  4. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  5. mwanamwana

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  6. M

    Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  7. Bull Bucka

    Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  8. benzemah

    Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  9. Bushmamy

    Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
  10. B

    Tabora: Utingo adaiwa kumuua dereva wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Benedicto Modest Mangi aliyekuwa dereva bajaji ya mizigo, Mkazi wa Mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi linalodaiwa...
  11. Roving Journalist

    Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  12. Makonde plateu

    Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

    MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba. Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
  13. BARD AI

    Kigoma: Anayetuhumiwa kuua watu 7 wa familia moja apandishwa Kizimbani

    Mshtakiwa wa kesi ya mauaji ya watu saba wa familia moja, yalitokea katika kijiji cha Kiganza mkoani hapa, Peter Moris (33), amefikishwa katika Mahakama KuuKanda ya Kigoma, kwa mara ya kwanza na kusomewa maelezo ya kosa ambapo alikana kuhusika na tukio hilo. Akisomewa maelezo hayo leo Februari...
  14. Lady Whistledown

    Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi, vyanzo vikuu vya mauaji Njombe

    Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada wa kisheria mkoani hapa inayotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC. "Njombe hii kuna...
  15. Jay El

    Mauaji yanayoongezeka yatokanayo na wivu wa mapenzi nini kifanyike?

    Wakulungwa wa Jamii forums, wasalaam. Kama tujuavyo hizi topic za mauaji kwa jina la wivu wa mapenz naona zimekua too much sasa Dodoma week hii nadhani kama sikosei yalikua matatu Mbeya napo mtu kaamua kunywesha sumu familia nzima. Mimi kwa mtazamo wangu naona panatakiwa kufanyika jambo kwa...
  16. R

    Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  17. Erythrocyte

    Spika Tulia Ackson ashauri itafutwe njia ya kuzuia mauaji yatokanayo na wivu wa mapenzi

    Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi. Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo. Bali ikumbukwe...
  18. HIMARS

    Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chidachi kwa kumpiga hadi kufariki, kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma ACP Martin Otieno...
  19. Roving Journalist

    Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  20. Kilenzi _Jr

    SoC02 Wivu wa Mapenzi Unatumaliza

    Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga risasi. Ndiyo ni Davis kajiua kisa mapenzi baada ya kugundua mke wake anatoka nje ya ndoa. Davis...
Back
Top Bottom