Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
Wana JF
Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii.
Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu...
Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia.
Pablo angekuwa kocha mzuri sana angeshanyakuliwaa na timu za Barcelona, Man U, au Tottenham zilizokuwa zinatafuta makocha wazuri. Ni kocha wa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========...
Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000.
Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama
Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza...
Leo ni mara ya nne kufika Karatu, naomba nikiri, katika miji niliyotembelea, huu mji una watoto wakali sana, tena weupe.
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.