Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
Wakuu habari.
Kwa wale wapenda mambo ya kikubwa! Kwenda na mtoto wako guest house Kuna mfanya kiroho kuchukua vitu vilivyowahi kifanyika kwenye hicho chumba.
Usije shangaa mtoto wako mbona nikahaba au shoga kumbe chanzo ni wewe kwenda naye kwenye nyumba za kulala wageni.
Haijarishi unaenda...
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
Nimeweka mstari huu wa bible kutoka biblia ya KJV kwa sababu ya kiswahili imechakachuliwa tafsiri yake. Nabii Elisha akiwa kwenye matembezi akakutana na kundi la watoto wadogo waliokuwa wakimtania kuhusu kipara cha kushangaza wakatokea dubu wawili kimiujiza na kuwaua watoto 42 kikatili kama...
Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana
watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake.
Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto.
Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kuwarubuni watoto wadogo wa kiume chini ya umri wa miaka 10 wamwingilie kinyume na maumbile.
Mwenye Nyumba...
Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna...
Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
Imani za kishirikina zimekuwepo sana kwenye chaguzi zetu kuu. Sana.
Huu ni mwaka uelekeo wa uchaguzi Mkuu 2025. Kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuibwa na kuuawa. Mara nyingi sana tunasoma habari hizo.
Rais anasema ni drama. Imenishtua. Hasemi kuwa polisi wafanyie kazi hizo "tetesi" ikiwa si...
Ukuaji wa Teknolojia ni Mzuri kama ukitumika vizuri. Kwa nini nimeleta hoja hii kwenu?
Unakuta wazazi wote wanachart karibu siku nzima watoto wanaolelewa humo ndani wanabaki kuzunguka zunguka tu. Mama hajali kuhusu watoto wala Baba labda akilia kidogo ndio washtuke kuangalia nini kimetokea...
Salaam, Shalom!!
I declare interest, Mimi Rabbon ni baba wa watoto wengi, mtoto yeyote popote ni mwanangu sababu Mimi ni mwalimu wa watoto kiimani na kiroho.
Twende haraka kwenye mada, zipo athari nyingi wazazi mnawaletea watoto wenu Kwa kujua na wengine kutojua.
Ninakutana na cases...
TABIA NA MAKUZI
Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao seat hawataki hawa watoto wawapishe watu wazima waliosimama kisa tu wamelipa pesa.
Hii kwangu...
Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani.
Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda
Ukiwa njiani unawaona watoto...
Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni
Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha.
Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.